eFootball Special Thread

Kuna huyo mimi phase iliyopita nilifika mpaka 1949 nilifungwa kama game 6 mfululizo nikarudi 1800, konami hizo rank zina watu wao bana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Hahaha jana nimeshenyentwa game mfululizo, Game ya mwisho ndio ilikuwa ya kunirudisha division 2 nilipigwa comeback nikaquit game ndio sijafungua mpaka leo na sina nguvu ya kufungua๐Ÿ˜…
 
Script ya division. 1 ni nyoko๐Ÿ˜€
Haifai๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Alafu wana kaujinga ka kukaza usifike level fulan mfano me kipind sijafika division 3 division 4 nilikuwa natoka jasho๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ wakatoka hapo wakahamia Div 2 nimekuja kufika kwa tabu sana baada ya happ naona wameweka kambi division one๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ