eFootball Special Thread

Huwa wanafanyeje hawa jamaa
kua na lain 2 yenye bando na Nyingne ambayo haina. Ukifungwa afu game ikawa inaisha Switch Data kwenye lain ambayo haina Bando Then Endmatch..Retry ita Road...alf game itakua unfineshed match ko point hazito decrease sema nin unatakiw kukaz ndy utam wa game๐Ÿ‘Š

#Copied
 
Nataka nijifunze hii si inatumika hata eFootball league kuna watu wanakela sana kule๐Ÿ˜ฌ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ