eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Maana hausogei ukuta umetulia unasubiri kufanya tackling ipigwe counter chap๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒNapata shida kwenye counter na LBC ila nitaimaster tuu nilikuwa nacheza na strikers watatu leo ndo nimelud kwenye 4222
Kinachonifanya nisiiache ni hiyo defensive line inakaaa mbali mno ad raha
 
Selikavu NEGAN mbona hamleti matokeo nyie mnaandika andika tu ๐Ÿ˜‚
Jina lake litakukera๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmaana wewe ni mtumiaji wa smart assist

Ila hizo mbili za mwanzo zenye jina kali kabisa tulidraw moja moja network yake ilikata tukamalizia hizi mbili
Screenshot_20250722-063020_1.jpg
 
Back
Top Bottom