Turudi leo na deal na Pedri tu ๐Tulud
Afu tangu nacheza LBC simtumii kihivyoTurudi leo na deal na Pedri tu ๐
Hupoi ๐Black ball Reunion Jumapili hii๐View attachment 3413482
NaanzajeHupoi ๐
Iitabidi nitafute mbinu ya kulenya ule ukuta wako๐Afu tangu nacheza LBC simtumii kihivyo
๐๐๐Labda uhamie QC ๐๐naona ndo watu pekee wananisumbua kwa sasa ila na wenye lofted pass zinawaua sasa๐๐๐Iitabidi nitafute mbinu ya kulenya ule ukuta wako๐
Maana hausogei ukuta umetulia unasubiri kufanya tackling ipigwe counter chap๐๐๐๐Labda uhamie QC ๐๐naona ndo watu pekee wananisumbua kwa sasa ila na wenye lofted pass zinawaua sasa๐๐๐
Kesho tupande sikuiona hiiTwende mkuu
Jina nililotumia sio ๐
๐๐๐Napata shida kwenye counter na LBC ila nitaimaster tuu nilikuwa nacheza na strikers watatu leo ndo nimelud kwenye 4222Maana hausogei ukuta umetulia unasubiri kufanya tackling ipigwe counter chap๐
Aaah Efootball league mechi huwa ni dakika chache tuu unaingia unafungua Room unampa invite unaenda zako kukagua kikos chako basi kama dakika ngapi mtu anaona anaingia roomTulikua tunapishana tu mkuu
Jina lake litakukera๐๐maana wewe ni mtumiaji wa smart assist
Mkuu usinifananishe na watumia smart assist.Jina lake litakukera๐๐maana wewe ni mtumiaji wa smart assist
Ila hizo mbili za mwanzo zenye jina kali kabisa tulidraw moja moja network yake ilikata tukamalizia hizi mbiliView attachment 3413997
Iv kumbe uliacha kutumia๐๐Mkuu usinifananishe na watumia smart assist.