Mkuu usituangushe mapema mashabikiMimi nachezaga kuenjoy tu sipo serious kiasi hicho nitafungwa mpaka nishangae ila kukufunga ndio lazima nikufunge maana akili yangu inawaza tu kushambulia kujizuia mimi hapana
Hata leo saa 4 tukiwashe. Na wote tunacheza formation moja๐
Hawa maligendi wastaarabu mno๐๐๐Mkuu usituangushe mapema mashabiki
Unawaza iufunga kama Mimi ๐
Xabi ni kocha fulani hivi akiamua kupasuka siku hiyo utaoga mengi sana imewahi kunikuta online mechi moja hivi mpaka nika forfeitEeh hivyo hivyo mkuu๐๐๐
Nothing serious ni utani tuu kuenjoy game๐๐
Mimi hapo DM ninaweka mmoja tu tena sio DM kiuhalisia maana DM halisi yupo amekula mkeka ila hapo namuweka Scholes hapo kunifunga mimi nikugusa tuHata leo saa 4 tukiwashe. Na wote tunacheza formation moja๐View attachment 3413425
Ewaaa Mi mi mkuu tupe ratiba yakoHata leo saa 4 tukiwashe. Na wote tunacheza formation moja๐View attachment 3413425
Me nilitelekeza Account kabisa nikahamia nyingine kisa Alonso sema... Dawaa ni kufunga mengi na kukaba mno๐Xabi ni kocha fulani hivi akiamua kupasuka siku hiyo utaoga mengi sana imewahi kunikuta online mechi moja hivi mpaka nika forfeit
Aaah wapi Jumapili nitajaribuMkuu usituangushe mapema mashabiki
Unawaza iufunga kama Mimi ๐
Nyie muende tuu๐๐mkacheze mkumbushane Black balls ๐คฃ๐คฃMimi hapo DM ninaweka mmoja tu tena sio DM kiuhalisia maana DM halisi yupo amekula mkeka ila hapo namuweka Scholes hapo kunifunga mimi nikugusa tu
Xabi kwenye kushambulia hana shida ila kufunga duka kazi unayoMe nilitelekeza Account kabisa nikahamia nyingine kisa Alonso sema... Dawaa ni kufunga mengi na kukaba mno๐
Kwahiyo Jumapili hiyo mzee๐ uwakika mjipange vizuriAaah wapi Jumapili nitajaribu
Nilikuwa nacheza na DMF wawili na wote nawapa Defensive ๐คฃ๐คฃmmoja anapewa DeeplineXabi kwenye kushambulia hana shida ila kufunga duka kazi unayo
Mwendo wa kupeleka moto dakika 90๐Mimi hapo DM ninaweka mmoja tu tena sio DM kiuhalisia maana DM halisi yupo amekula mkeka ila hapo namuweka Scholes hapo kunifunga mimi nikugusa tu
Umenikumbusha kitamboNyie muende tuu๐๐mkacheze mkumbushane Black balls ๐คฃ๐คฃ