eFootball Special Thread

Mechi ya kwanza nashangaa nimerudisha goli zote 4, hujafanya sawa kabisa mkuu ๐Ÿ˜‚
Ujue naangalia ndo kwwnza first half na hata dalili ya kupiga shuti huna nikasema ngoja nikuachie mawili ili upate nguvu ya kucheza๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnashangaa umeludisha yote
 
Ujue naangalia ndo kwwnza first half na hata dalili ya kupiga shuti huna nikasema ngoja nikuachie mawili ili upate nguvu ya kucheza๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnashangaa umeludisha yote
Na ndo kilichonikera maana nilijua kabisa hapa nafanyiwa kusudi ili nipate goli ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ