Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,531
- 34,799
Wakuu habari za Asubuhi....
Wataalamu wanasema mpira sio kikosi ni uwezo nataka nijipime uwezo wangu na kikosi changu cha Mchongo leo nione kama ninao ama sina uwezo...๐
Leo nataka tucheze kwa account yangu ya selikavu...
Atakayekua free anipe Ratiba nilete code
Cc Razorblade Gilberto_ NEGAN Edo kissy Mill broh Mr Devil Kandambili1 et al
Wote mnakaribishwa kikosi ni Hiki ukiniwekea Full mkoko nitapenda zaid๐๐๐