eFootball Special Thread

Kuna simu nilikuwa nayo kuikagua nikakuta game hilo nikalifungua, mwenye simu nae ndo anaanza maana kikosi kilikuwa cha standard card toleo la mwisho ๐Ÿ˜‚

Akirudishiwa simu yake atashangaa kukuta kikosi kimekua tofauti na alivyokiacha.
Kheeh ๐Ÿ˜ƒumekipanga upya
 
Kheeh ๐Ÿ˜ƒumekipanga upya
Siyo kukipanga upya tu atakuta kocha wa 500 coins na wachezaji wapya akiwepo na Cavani ๐Ÿ˜‚


Alikuwa hana coins wala GP, nikifikisha coins 500 nasajili kocha, sasahivi zipo coins 370.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ