eFootball Special Thread

Sisi watengeneza account kwa wachezaji wa bure hilo siyo la kuuliza, wowote wataokuja ni kupita nao tu.
Kwa jinsi akina Constacurta na Cafu wananvyonikaba nipo mbion kununua account ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃambayo itakuwa na hawa jamaa
 
Kwa jinsi akina Constacurta na Cafu wananvyonikaba nipo mbion kununua account ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃambayo itakuwa na hawa jamaa
Binafsi hapana, nitakimbizana nao na hawahawa wachezaji wangu wa bure ๐Ÿ˜‚
 
nimeona nimtoe pedri kikosini akae uyo jamaa ,japo pedri ana kichafua sana kati kati lakini kwa mfumo wangu naona yuko slow sana maana napenda kutumia through pass ,, Nime jaribu CMF Box to box wawili na anchor man kama DMF naona timu iko njema , saa 4 Selikavu Edo kissy Razorblade itabidi tuguse ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒUnamtoaje Pedrinho Gonzalez๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mimi ukitaka kuniweza mkabe pedri hapo ujanja wote mfukoni๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Sema huyo jamaa sema Zairy Emery anakaba mzee hapo kati pamekaa njema๐Ÿ˜ƒbox to box wawili kati kati ni Uuwaji... Nilikuwa nacheza na Pedri pamoja na Rice zaman๐Ÿ˜ƒilikuwa unyama sana

Kuna alhamic moja wakaleta update Rice form Yake ikasoma D nikamtoa baada ya hapo sijawai waludisha tena kucheza pamoja


Saa nne kama kawaida mkuu au muda wowote me nipo tuu
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นpedri ana kichafua sana ,tatizo kwangu aja kizi mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ