eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Hii mechi ipigwe maana kila upande unatamba๐Ÿ˜ƒ
Hata nikicheza nae mechi 10 bado atanifunga tu ๐Ÿ˜‚, haya madude yanahitaji ucheze mara kwa mara ili kuimprove.

Tangu nilivyopanda dvn 2 ni kama vile mood pia imeshuka, hata nikiwa nacheza na AI nahisi mood ipo chini.

Muda wa kucheza friend match pia umekuwa mdogo ndiyomaana mara nyingi nacheza AI maana hata nikitoka katikati ya mechi nikija kurudi naresume tu.

Kipindi cha mpito tu hichi.
 
Na nitakunyanyasa sana mpka uludishe form utakuwa umeoga nyingi sana
Screenshot_20250511-234857.png

NB nilisema sipost ila hii nimeweka kukutia hasira๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Na nitakunyanyasa sana mpka uludishe form utakuwa umeoga nyingi sanaView attachment 3331792

NB nilisema sipost ila hii nimeweka kukutia hasira๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Sheria msumeno mkuu, mie nilitaka upost ila wewe tu uligoma ๐Ÿ˜‚

Basi utanifunga sana ๐Ÿ˜‚, hili game limekula muda wa kutazama movies/series kiasi kwamba latest nyingi zinanipita.
 
Back
Top Bottom