eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

Tulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bila kujali mpinzani atakuwaje.
Mtu anayecheza na smart assist ni kazi kumkaba we hujui tu๐Ÿ˜ƒ umeziba njia zote vizuri mara AI inapiga pass ya juu ghafla ๐Ÿ˜ƒ unataka kupiga tackle AI inamsaidia ku dribble kama Messi.

Ilitakiwa wanotumia smart assist wacheze na wenzao wanaotumia smart assist
 
Me nimezima imenishinda๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mwambie aache ubahili atoe buku 2 hiyo๐Ÿ˜ƒ
Hawezi huyu๐Ÿ˜ƒ
GqL_14sWwAAePLm.jpeg
 
Back
Top Bottom