Hana speed ya kuwa winger๐View attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
mzee wa through passView attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
Hawa konami wana ubaguzi๐๐Nishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea ๐
Spine kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃkama ipo ipo tuuDah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwisho๐
Haya komaa ๐Dah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwisho๐
NEGAN anazo asilimia nyingi za kupata sababu amewaungisha sana ila wewe umewaungisha 2k mie ndo sijawaungisha kabisa ๐Hawa konami wana ubaguzi๐๐
Inasaidia sana kwenye finishing ๐๐ kila mtu anakimbilia smart assist, ila wamezingua mno kuweka ile ishu mpaka division games.Dvn mbona kama kila mtu anatumia smart assist
Niko vibaya hapa mkuu, tutagusa kesho, tuombe uzima.Ndo naingia hivi mkuu, ule muda niliingia chandimu ๐ฅด
Kama upo twenzao tu
Sawa kaka โ๏ธNiko vibaya hapa mkuu, tutagusa kesho kukikucha salama.
Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hiziInasaidia sana kwenye finishing ๐๐ kila mtu anakimbilia smart assist, ila wamezingua mno kuweka ile ishu mpaka division games.
Piga harama football tu ๐Dvn mbona kama kila mtu anatumia smart assist
Ile smart assist wangefanya kuitoa tu, ladha ya game inapungua kila kitu kama vile wanacheza wenyewe tu.Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hizi
Dah asee mpira siuelewi kabisa bado sija master niki kutana na mtu anae tumia smart assist na pass assistInasaidia sana kwenye finishing ๐๐ kila mtu anakimbilia smart assist, ila wamezingua mno kuweka ile ishu mpaka division games.
Ndo kitu nachotaka kufanya maana naona ma picha picha uku napanda na kushuka ๐ ๐Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hizi
Tulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bila kujali mpinzani atakuwaje.Mimi imenikata sichezo tena divison games siku hizi
Wabovu wengi ndo wanapenda ile ishu, mimi ikitokea nikafungwa hata goli 2 za smart assist naingia settings na mi naweka afu tuoneshane sasa ๐Dah asee mpira siuelewi kabisa bado sija master niki kutana na mtu anae tumia smart assist na pass assist
๐ ๐ Kule kila mtu ana mpira wake wa kutafutia matokeo asee ๐ ๐ฅTulikubaliana kwenye dvn tutacheza haram football bils kujali mpinzani atakuwaje.