Ahaha sawa mkuu, midaMe nipo kwenye hiace kaka niliingia kupiga penati tuu๐๐
Sawaa kakaAhaha sawa mkuu, mida
Ni njema tu sijui upande wako?Mishe zinaendaje?
Mkuu upo??Ahaha sawa mkuu, mida
Nimespine tatu kaka kuna moja uwanja ukawaka kabisa ๐ดafu hola๐๐Hata J3 sijafikisha uvimilivu umenishinda, nimespin zote nilizokuwa nazo na nimetoka patupu ๐
Nitatunza coins tu ila hizo free spin ni pata potea, mwenye nacho ataongezewa ๐
Familia kabisa me nimekussuport Nishazimaliza๐คฃ๐คฃHata J3 sijafikisha uvimilivu umenishinda, nimespin zote nilizokuwa nazo na nimetoka patupu ๐
Nitatunza coins tu ila hizo free spin ni pata potea, mwenye nacho ataongezewa ๐
๐ndo naingiaMkuu upo??
Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena ๐Nimespine tatu kaka kuna moja uwanja ukawaka kabisa ๐ดafu hola๐๐
Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt ๐Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena ๐
Eeh familia hakuna kuwekeza kwenye kamari ๐Familia kabisa me nimekussuport Nishazimaliza๐คฃ๐คฃView attachment 3329986
Mkuu hawa konami wako vizuri sana, hakuna trick ni bahati tu.Kuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt ๐
Namuuliza kawapataje anipe triki, ananambia bahati tu.
Kwel kaka hakuna namna๐๐Nitaendelea kuspin tu hakuna kuziweka tena ๐
Kawapata wawili tena duh๐ดKuna mtu nimetoka kucheza nae hapa kashawapata wawili duh, Owen na Berkampt ๐
Namuuliza kawapataje anipe triki, ananambia bahati tu.
Tumwachie Negan..Eeh familia hakuna kuwekeza kwenye kamari ๐
Nishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea ๐Tumwachie Negan..
Ila yeye atapata simu yake ya Japan sijui ๐คฃ๐คฃ
Shusha username tutume request mkuuView attachment 3330230wamenipa huyu nipate winga ya uhakika sasa
Dah mnanitamanisha na mimi ni spin ngoja nijikaze mpaka wiki ya mwisho๐Nishakuambia mwenye nacho anaongezewa, kikosi chake kina watu na bado watamuongezea ๐