mzozaji
JF-Expert Member
- Jul 28, 2010
- 255
- 15
Leo Dr. Hussein Mwinyi alikuwa akitolea mfano wa uchumi wa visiwa unavyotegemea sekta fulani fulani na kwa confidence zote aliitolea mfano Dubai kama Kisiwa chenye free Port! Pia alitaka ushuru wa TRA uwe sawa Zanzibar na Bara. Sasa ushuru ukiwa sawa si ndio utaua kabisa biashara ya Zanzibar kuuza Bara. Nani ataenda kununua gari Zanzibar au bidhaa yeyote kama bei zitalingana?