Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,567 Reaction score 27,595 Oct 10, 2026 #1 Daladala za Mbagala-Kawe-Masaki na Kisemvule , Eicher zinabeba watu 70 kuendelea: Huko Mwanza wamekata Eicher ya Msukuma, itaisha lakini vipi kuhusu Dar, ina maana huwa hawaoni? Tusubiri vifo tutoe pole ! Attachments IMG_3250.jpeg 231 KB · Views: 8
Daladala za Mbagala-Kawe-Masaki na Kisemvule , Eicher zinabeba watu 70 kuendelea: Huko Mwanza wamekata Eicher ya Msukuma, itaisha lakini vipi kuhusu Dar, ina maana huwa hawaoni? Tusubiri vifo tutoe pole !
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,640 Reaction score 28,031 Oct 10, 2026 #2 Binafs nayaogopa ma eichers aseeh
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 56,004 Reaction score 132,296 Oct 10, 2026 #3 Hakuna daladala inayobeba level seat, kama ipo nionyesheni.