lunyungu kwahakika una chuki za wazi na Cuf! Je Cuf imehusikaje hapo mpk ukaiweka ndani ya uozo wako? Mbona we Vutu namna hiyo?Uzushi wote huu kuna mada za kuangalia ukapita na ukaokoa muda wako wa kupoteza kwa kuchangia .Chadema wamesema na wametenda na wataendelelea na majukumu yao mengine ni porojo tu hapa.Mbowe na Mtei wanamburuza nani kwa ajili ya faida ya nani kama si ujinga wa kuwagawa watanzania kwa ukabila na udini na baadaye kuanza kulia ubaguzi majukwaani ?Hii si CUF kwamba mwishowe wamebanwa no na Chadema watu wanataka changes na si madaraka kama CUF