Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
Kidogo nicheke eti source ni gazeti la uhuru.source yenyewe ni gazeti la uhuru jamani ndio limeandika hiyo habari. Unategemea nini hapo kwani kwenye hiyo habari
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
CCM kufa kwenu kuko wazi ni suala la mda tu
Think Twice: Kweli yopu need to think twice! Unadhani hao wabunge wa Chadema wanaona ni dili sana kula wali na kunywa? (hii ni typical CCM mentality) mnauza nchi kwa ajili ya pilau, free bongo flava shows, T-shirts na kapelo!! Kitu muhimu ilikuwa ni kumuonyesha JK kuwa hatambuliki, hiyo pekee imetosha kufikisha ujumbe! Kama baadaye wabunge wa Chadema walikuja kula na kunywa...au hata kama waliwatongoza wabunge wa CCM haiathiri objective ya kususia hotuba yake!!
Zhu: Bado una nafasi ya kutafakari na kurekebisha uyasemayo; tunaomba utupe majina ya Wabunge 11 waliopinga kitendo cha kususia hotuba ya Kikwete, na utupe pia source ya habari yako.....
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
Wataje kwa majina ili tujue! Vinginevyo habari yako ni mashikoless na inafaa kupelekwa kona za udaku sio hapa!
I agree with you 100%, nawasikitikia hawa vijana, hawamjui Mbowe, ni dictator ile mbaya, na yupo Chadema si kwa maslahi ya waTanzania bali kuna mambo na malengo yake binafsi.
Mie nawashangaa sana wa Tanzania wenzangu wengine, hivi huyu jamaa ambae klabu zake za usiku zina uozo wa uadilifu kupindukia, na yule Dokta Slaa ndio kama tujuavyo, ana kesi ya kupora Mke wa mtu, ndio wanawashabikia na kuwasikiliza eti ni viongozi, wanaongoza nini?
Ni haki yao kupinga. Demokrasia ndani ya CHADEMA iko wazi. Kama kweli walikuwa na ubavu wa kumpinga Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA, wangekwenda Bungeni siku hiyo na KUBAKI ndani wakati JK alipohutubia! Huo ni unafiki!
Unasema unampinga Mwenyekiti, unakipinga CHADEMA, halafu hufanyi vitendo? Khaaa!
Uchuro!
Watanzania waoga sana! Ningependa kujua majina yao niwanange hapa LIVE! Wekeni majina yao tafadhali! Mnawaficha nini? Hawa si watu makini, HAWATUFAI ndani ya CHADEMA! Inawezekana ndio hawa wale Wabunge Mamluki waliopandikizwa na CCM, kuja kuivuruga CHADEMA!
Tuko makini, hamtuwezi!
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
Jamaa hamna kitu bana, mambo ya sitaki nataka mkuu. Mambo ya BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA, KWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIISHA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
Wabunge wote wapo pamoja acha uhuni na maada ambayo haina maana kwa sasa watanzania wanajadili kuhusu katiba mpya maana ujumbe umefika kwa wananchi wotewabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman Mbowe wa Kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
AKILI ZA WATU ZIPO MAKUNDI 4:
1. AKILI NDOGO SANA, Hujadili mambo binafsi ya watu bila data,
2. AKILI ZA KAWAIDA, Hujadili matukio ya kawaida bila kutumia nguvu ya hoja,
3. AKILI ZA JUU, Hujadili IDEAS. Hawahangaiki na maisha ya watu; siku zote hutumia QUALITY DATA,
4. AKILI ZA JUU SANA. Hutengeneza na kujadili IDEAS. Hata hivyo, watu hawa huonekana WAJINGA kwenye jamii kwani huwa HAWAELEWEKI kwa urahisi. Ni bbada ya miongo kadhaa, ndipo watu huja kusema, ALA, KUMBE ALIKUWA SAWA, TOO LATE.
Utawatambuaje? Wanyeyekevu, wasikivu, si waongo, nk, e.g. Nyerere, Jesus, Galileo Galilei, Isaac Newton, etc....