Chadema ni chama cha SIASA.............

Chadema ni chama cha SIASA.............

Kwa maana hiyo mwataka kutuambia kuwa hii JF ni ya viongozi wa CHADEMA ?, kama iko hivyo basi tumepoteza mwelekeo wetu aisee. Sie kama GREAT THINKERS hatutakiwi ku-base upande wowote ule, tuwe tuna analyse na kutoa maoni yenu for the betterment ya watanzania wote bila kujali chama, dini, rangi, kabila au mkoa.
Huyo sokomoko ametoa maoni yake kwa kuzingatia hayo unayosema? au na wewe unakurupuka tu!
 
Tuliisha tambua CHADEMA tangu zamani. CHADEMA kuna UDINI, UKABILA, UPENDELEO WA WAZI WAZI KM VITI MAALUM WALIVYOFANYA NA HAKUNA UHURU WA MAWAZO KM WANAVYOTAKA KUFANYA WAKINA ZITTO NA SHIBUDA

You real need to think twice huh!??:embarrassed:
 
Sokomoko huna nafasi hapa jamvini unatia kichefuchefu kajadilianeni na makamba hapa ni forum ya wanamapinduzi watanzania waliobahatika kusoma wanapashana habari na kujua namna gani wasonge mbele nenda kwa mkwere akakwere au kwa makamba aliyekutuma chukua time
najisikia kichefuchefu wakati mwingine.Akili ya kawaida ilikuwa kwa chadema kusambaza wabunge wake wanawake mikoa yote tanzania nzima ili iwe chachu ya mabadiliko na sio kilimanjaro tu huku vijijini hata hatuijui nakubaliana na mtoa maada kuwa kweli chadema haina wanasiasa ina wanaharakati, wajibadili haraka kabla ya CCJ haijafufuka kwa kishindo.
 
najisikia kichefuchefu wakati mwingine.Akili ya kawaida ilikuwa kwa chadema kusambaza wabunge wake wanawake mikoa yote tanzania nzima ili iwe chachu ya mabadiliko na sio kilimanjaro tu huku vijijini hata hatuijui nakubaliana na mtoa maada kuwa kweli chadema haina wanasiasa ina wanaharakati, wajibadili haraka kabla ya CCJ haijafufuka kwa kishindo.

Unapoandika hivyo je Viti maalum ni zawadi ?Kama si zawadi kwanini kusiwe na vigezo vya kuhakikisha wabunge wanapatikana kutokana na vigezo maalum.Tatizo mawazo mgando ya CCM na mfumo unaotumika na CCM umetuhathiri wengi hata tunashindwa kupambanua mambo.

Nawapongeza Chadema kwa vigezo walivyotumia iwapo waliona vinafaa.japo Tunakumbuka sote uchaguzi wa nafasi hizo ulivurugika siku chache kabla ya kampeni hakukua na njia nyingine kunusuru tukio hilo zaidi ya kuweka vigezo.Uongozi hauna kikomo Uwe Mbunge na usiwe mbunge unaweza kudhihirisha kuwa unaweza kuongoza kwa kufanya jambo litakalowavuti wengi,kwa maana hiyo ni nafasi sasa kwa wale wote ambao hawakupata kujidhihirisha uwezo wao tangu sasa ili wawezekupigania nafasi hizo 2015.

Tuachane na propaganda za ukabila,udini,na undugu kwa ni hoja ambazo hazijengi ukiacha kuwa si za kweli.JK umeharibu watu ubongo na propaganda zako za Udini na IT WILL COST YOU SOON
 
Tafadhali nawaomba wana - JF; muachane na kujadiliana na huyu rafiki yake na profesa (SANI) kalewa!!!!! au nakumbuka vibaya!!!! Hata ccm si ccm ni mlevi tu wa porojo za makamba (profesa wa SANI:bump::bump::bump🙂
 
Haijalishi nitasema sitanyamaza kwakuwa mimi ni mtu huru na nina uhuru wa kutoa maoni yangu, kama wewe unavyotoa maoni yako kwa kunifananisha mimi na malaria sugu. Ila ukweli utabaki palepale.......
Palepale Wapii?
 
Back
Top Bottom