CHADEMA jiangaliane mara mbili

CHADEMA jiangaliane mara mbili

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
Sihitaji sana kuwapa darasa ila jifunzeni kwa CCM, mbinu za siasa hamjui na msipoangalia 2015 ndio mmepotea kabisa.

Kama umefuatilia ziara ya Kinana na nape basi utajifunza mengi,hawa jamaa wanajua siasa.
Kaeni mjipange upya .... 2.jpg

Shiratu na Musoma Mjini yatoa majibu.
 

Attachments

  • 9.jpg
    9.jpg
    37.4 KB · Views: 95
Ni kweli watu wanaweza kumkekekeli Kinana lakini siasa anazozifanya katila ziara zake zitakujakuigharimu chadema hapo baadae
 
Mkuu CCM haina mpinzani hata iweje lipo wazi ushabiki wa JF hautoshi kuing'oa CCM madarakani
 
Mbona tumejipanga kitambo mkuu , kabla ya kumpromot kinana hebu muulize alipokuwa wakati loliondo inauzwa ! Shortly ni kwamba amechafuka ukiambiwa utazimia ! Hana lolote ! Yanayomuhusu Nape ,nakuachia wewe mwenyewe ili mradi mfumo wako wa fahamu unafanyakazi vizuri !
 
Waitishe mkutano bila kusomba watu na MASCANIA na kuwatumia wasanii.
 
CHADEMA kitakufa kifo cha kawaida kabisa.
 
Ni kweli watu wanaweza kumkekekeli Kinana lakini siasa anazozifanya katila ziara zake zitakujakuigharimu chadema hapo baadae

Kwa hiyo unataka CHADEMA ifanyeje? ili isije ikagharimiwa na ziara ya Kinana!
 
Back
Top Bottom