Huu ni wakati ambao WATANZANIA tunapaswa kutafakari vizuri juu ya wagombea wa nafasi mbali mbali za uongozi pamoja na vyama vyao kabla ya kwenda kupiga kura ifikapo mwezi oktoba.
Nimeanzisha uzi huu ili tujadiliane kwa pamoja mambo mbalimbali ambayo yamefanywa na chama cha mapinduzi (CCM) ambacho ndio chama tawala. CCM wataanza kunadi sera zao hivi punde na kama ilivyo ada sera na ahadi huwa zinavutia mno kiasi kwamba ukiingia kichwa kichwa unaweza kupiga kura bila ya kupima na kufanya tathmin ya ahadi walizoahid miaka ya nyuma na kutizama maendeleo yaliyopo wakati huu ambao wanaomba kura tena...
wapo wanaoshabikia tu CCM CCM CCM, nadhan hapa sio sehem sahihi kwao... tujadiliane kwa ajil ya maslah mapana ya taifa.... tujifunze kwa majirani zetu wa kenya...
Jiulize je, CCM imesaidia vip Tanzania kupiga hatua kwenye:
1. ELIMU
2. AFYA
3. KILIMO NA UFUGAJI
4. MIUNDOMBINU
5. BIASHARA n.k
Nyie mnaopiga piga blah blah kwenye nyuzi za UKAWA mje hapa mtushawishi.......