Thread 'Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi' GE2025 - Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lini Tena hii mkuu?
Thread 'Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi' GE2025 - Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lini Tena hii mkuu?
Na lake oil ya riziwaniUnataka kusema na Afro oil nayo mtaichukua! 😱
Mimi na sisitiza tukwa wakati huu hata kama chura akigeuka mamba,pia anaweza kuwa kitoweo!"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"
"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"
"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"
"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni mara ngapi niwaambie kuwa "Kifo ni kifo tu, msilete taharuki mitandaoni 😄😄"
Hapo Bi Chura anatafuta maneno ya kumchamba Tesha ila atapata tabu sana yeye na genge lake
Nasemaje, hata kama JWTZ limekataa kuchukua nchi, October 29 kitaeleweka. Tutaandamana mpaka pale Bi Chura atakapojiuzulu. Anaharibu nchi yetu huyu mama na genge lake akina Kikwete, Rostam na Abduli"
Yawezekana hata JWTZ kwenye uongozi kuna machawa wa CCM, ila huu mwaka hamtashinda.
Samia ajiuzulu, Tesha awe Rais 😏
Mali zote za kikwete zitarudi Kwa wananchi
Unataka kusema na Afro oil nayo mtaichukua! 😱
Na lake oil ya riziwani
Bado kukinukisha part 2, 2030! Mtahama nchi kudadek zenuoct 29...25
sasa 2026
mlipania na kufanikisha
yetu machoBado kukinukisha part 2, 2030! Mtahama nchi kudadek zenu