The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,680
Ulizoea kijiji cha kwenu huu mji mkubwa utapotea ukitaka kujifanya we wa mjini, wakati mwingine unaulizaDaah hapa kwenye chakula au sehemu ya kula Bk a.k.a Burkina Faso nilichoka aiseee unadhurura mji mzima hupati sehem ya chakula