Betting na Forex ni kitu kimoja?

Betting na Forex ni kitu kimoja?

Mimi naendesha maisha yangu kupitia biashara ya kamari kama mtu mwingine anavoweza kuendesha maisha yake kupitia biashara ya nguo au biashara ya nafaka all in all zote zinaanza na title ya biashara then what comes next ndo inatofautisha ndo.maana inaitwa biashara ya forex biashara ya kilimo biashara ya usafirishaji period
Kamari ni mchezo, je biashara nayo ni mchezo kama ilivyo kamari?
 
Forex na Betting zote ni karakana za kutengeneza vijana ombaomba wasio na muelekeo wa maisha
 
Kikubwa ni mkwanja uingie na wengi wanaokurupuka kama wewe kuingia kwenye forex wakijua ni kama tu kubeti ndo kinawaramba mimi sipo upande wowote lakini tu ukweli ni kwamba forex ni business kama business zingine ndo mana hata banks wanafanya lakini huwezi kukuta hata siku moj NMB/CRDB ameweka mkeka na sheria ya tz inasema kabisa mtu yeyote anayefanya biashara ya foreign exchange(FOREX) akifikisha/akianza na mtaji wa $100k anatakiwa ajisajili kama financial institution na sio kama retail trader kwa hiyo kabla hujaweka mada mezani ingia deep then weka kitu kinachoelekweka na sio kukurupuka
FOREX inayofanywa na ma bank au maduka ya kubadilisha fedha ni tofauti na FOREX inayo fanywa mitandaoni. Ile ya bank ni biashara halali na inawezesha biashara za kimataifa. Ni mara chache kwa bank kupata hasara kutokana na kubadilisha fedha.

Hii ya mtandaoni ni "mchezo" Ni gamification ya Real FOREX trade. Ni watu wamejenga ma platform ya kuchezesha kamari kwa mfumo wa kuiga biashara ya Real Forex.

Nakubaliana na mleta mada kuwa Forex, Betting na Kamari ni vitu vinafanana. Ila tofauti kidogo ya betting ni kwamba inatokana na matokeo halisi ya mechi halisi. Wakati Kamari na Forex ni purely gamification.
 
M

Mbona hamuiongelei na cryptocurrency?
 
Kwanza crypto kila kitu kipo wazi pia kweli kutabiri kwamba bei itashuka au kupanda inaweza kuwa vigumu kidogo ila kiashiria chenye nguvu zaidi ya kutambua mwelekeo wa bei ni TAARIFA.
Kujua kama bei inashuka au inapanda na wapi bei ikifika inaweza kushuka au kupanda ni rahisi kidogo.
Volume unaiona upande gani imejaa, unaona ni wapi palipo na oda nyingi kubwakubwa(whale orders) hapo mara nyingi bei huwa inageuka, hebu angalia hiyo screenshot....
View attachment 3710249
Hizo ni whale orders, katika maeneo ya bei ya 64,288 inaweza kuwa vigumu bei kuvuka hapo kuelekea chini, na hata ikivuka kuna uwezekano mkubwa bei ikifika pale ita bounce kwanza.

Crypto ni tofauti kabisa na forex ambayo trade yeye anachoona ni bei tu, mengine yote yamefichwa.

stakehigh hii mbinu ya kuangalia volume ya whale orders kwenye crypto exchanges ina uhalisia na mtu akiitumia anakua profitable au ni uongo???
 
not really, You see trading wasnt intended to be used as money making section, it only reports whats happening so some few people decided well we can use this as a gambling section where prices are uniform everywhere and they will believe us and we can make good money
 
Sema forex ukishaizoea kuiacha ni ngumu, unaona kama vile kamchezo flani hivi
 
Back
Top Bottom