VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,487 Reaction score 1,465 May 16, 2025 #1 Inasemekana, bata ukimfungia sehemu kwa siku zisizopungua 40, anakufa na badae ukifunua utakuta kawa nyoka. Hili ni kweli au ni uzushi tu wa watu?
Inasemekana, bata ukimfungia sehemu kwa siku zisizopungua 40, anakufa na badae ukifunua utakuta kawa nyoka. Hili ni kweli au ni uzushi tu wa watu?
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,479 Reaction score 954 May 18, 2025 #2 Hapana si kweli
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,724 Reaction score 1,251,322 May 22, 2025 #3 Potoshi