Bakhirli na Mwnawe

Bakhirli na Mwnawe

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,604
Reaction score
1,863
Bakhili na mwanawe mdogo walikuwa wakitembea tembea mjini, mara wakapita watu wamebeba jeneza wanakwenda kuzika, wakamsikia mke wa marehemu analia akisema:

Mume wangu ehe ehe ehe!! leo unapelekwa nyumba yenye kiza haina taa, haina chakula, wala haina chochooooote kile...!!!

Yule mtoto wa Mzee bakhili akamuuliza babake:

Atii...!! atiiii...!! Baba kwani huyu maiti anapelekwa kwetu eeh...!?
 
Tehe! Tehe! Tehe! Huyu mzee inaelekea anaipeleka familia yake mswaki ile mbaya.
 
khaa kwahyo kwa kina dogo kumefanana na kaburini iiishh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom