comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,859 Reaction score 18,319 Aug 19, 2025 #1 Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,590 Reaction score 23,304 Aug 19, 2025 #2 Anataka kuwa kama starsat
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,859 Reaction score 18,319 Aug 19, 2025 Thread starter #3 Wagumu Tunadumu said: Anataka kuwa kama starsat Click to expand... Na kwako umeona ?
K kabwe katal JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 264 Reaction score 289 Aug 20, 2025 #4 Ni kweli kina shida kwa channel za nje.inabidi wataalam wao wafanyie kazi mimi mwanzo nilidhani Tv yangu ni mbovu.
Ni kweli kina shida kwa channel za nje.inabidi wataalam wao wafanyie kazi mimi mwanzo nilidhani Tv yangu ni mbovu.
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 995 Reaction score 1,426 Aug 21, 2025 #5 Mimi nilidhani ni poor signal
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,582 Reaction score 25,456 Aug 21, 2025 #6 Yule HILDA PHOE yupo poa sana