mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,853 Reaction score 2,270 19 minutes ago #174,461 declan rice naiona taa nyekundu kwake.. soon yale ya saka yatahamia kwake kwani anatumika mno. inabidi itafutwe namna ya kucheza bila rice.. sio kila game anamaliza.
declan rice naiona taa nyekundu kwake.. soon yale ya saka yatahamia kwake kwani anatumika mno. inabidi itafutwe namna ya kucheza bila rice.. sio kila game anamaliza.