mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,901
- 20,148
Tangia fibre na wifi ziongezeke dstv na mimi tumepunguza mazoea.Kuna taarifa inasema dstv wanaanza kuonyesha mechi za EPL kwa 25K.
Channel inaitwa SS Swahili itakua namba 216 ama 223.
Sasa swali langu likawa kwahiyo ikatokea mechi nne zinacheza muda mmoja wao watakua wanaamua mechi gani ionyeshwe?
Kuna ambaye kasikia hili swala?
Imagine game ya juzi psg vs barcelona ilikua inarushwa kwenye kifurushi kikubwa
Huku fibre ni mwendo wa kucheza na fawanews tena ikiwa strong mzigo hd
Jibu la swali
Binafsi bado sijasikia hiyo taarifa ya dstv