Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliwahi kusema changamoto ya timu ndogo ni consistency.

Iangalie Leicester.

Iangalie Nottingham Forest
Hii niliandika 2025.

Tofauti ya Arsenal na kenge na nyumbu na timu ndogo zingine ni kwamba Arsenal tuna consistency na tunachotaka.

Matokeo ya leo yanaweza yasijirudie hadi mechi 17 zipite. Timu zingine haziwezi kuamini ikiwa wana consistency ya mtindo huu
 
Tukicheza na timu yoyote na ikacheza kama ambavyo Brighton anavyocheza na nyumbu leo na hiyo timu ikatufunga sitolalamika hata kidogo.

This is total dominance
Tupe matokeo KENGE nyie

😂😂

Naona mme-dominate leo
 
Viko vitimu vitatu vinaanzia na herufi B


1. Brighton

2. Brentford

3. Bournamouth

Hizi lazima zikuchane chane.

Lakini huyu arteta wa leo katia aibu sana 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom