Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 6,767
- 6,862
Ama kweli dunia ina maajabu yake...wakati kuna tetesi kuwa kuna nchi zinajiandaa kutengeneza/zimetengeneza MAGARI YANAYOTUMIA GESI/ MAJI badala ya mafuta.....au MAGARI YA KUTUMIA UMEME.......(unalichaji kama simu)......
huku NISHATI YA JUA ikishika kasi..bado mwarabu kang'ang'ana na mafuta yake tu....!
hivi overnight ikitokea MITAMBO a.k.a magari yote kutumia solar energy itakuwa vipi?
example...magari ya kabreta na kuwa injection........si itakuwa balaa kwa wenzetu?