Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

Ammy Mpungwe: Fisadi Mwalimu

Mpungwes Directorships:

National Bank of Commerce
Tanzania Breweries Ltd
Kilombero Sugar Co. Ltd
Air Tanzania
Maersk Tanzania Ltd
MultiChoice Tanzania Ltd
NIKO Insurance Co. (Tanzania) Ltd.
Tanzanite one
Coin Security
Namitech Ltd

and mmany more....
 
Wakulu,

Nafikiri mwafahamu kwamba kuna vitu vitatu muhimu ambavyo wazungu huwa wanatumia katika kutekeleza majambo yao hasa kwa wale ambao wao(wazungu) ambao wana ushirikiano na viongozi wetu katika kuhujumu mali ya taifa.

Vitu hivyo huviita "motive","means" and "opportunity".

"Motive" au dhamira ni kuhujumu, "means" au namna ni utaalam wa aina yoyote ukisaidiwa na nyenzo kama vifaa vya kisasa vya kuchimba tani kibao za almasi au dhahabu au utaalam wa kudhibiti fwedha kupitia benki zetu wenyewe.

Na mwisho ni "oppotunity" au nafasi au upenyo ambapo tayari wanakuwa na watu wao kupitia serikalini au middlemen kama akina Jeetu Patel.

Sasa kama ni kudhibiti mambo hayo matatu ni pale ambapo chama mbadala (CHADEMA au umoja wa vyama) kinatakiwa kichaguliwe na wananchi ambao inabidi waelimishwe kwelikweli ili kije na mambo mengine mapya ya karne hii ya saa ya 21.

Ni hayo tu.
 
Inashangaza huyu mtu hadi leo bado yupo uraiani au nae amepewa kinga na raia asishitakiwe
 
Field Marshal ES says:
''Ninaamini kwamba siku itakapofika, atakuwa ni shahidi mzuri sana kwa upande wetu wananchi, against mafisadi na hasa deal ya NBC ''

I say:
Usiwe na imani kuwa siku hiyo itafika Tanzania. Tuna utamaduni wa kusema, ni kudura ya Mungu na yaliyopita yamepita tuyasahau. Ndiyo maana unawaona 'wazee' wengi bado wadunda wakiambiwa 'Waache wapumzike'
Hapa JF nilileta mada ya kuwa kila mwenye orodha ya vitendo vya ufisadi na ushahidi alete hapa ili tukusanye na tuweke kama archive, pindi viongozi wadilifu watakapokuja wakabidhiwe kwa kurahisisha shughuli za kuwabana hawa....mada hiyo haikupitishwa na 'vigogo' wa JF! Kuna
matumaini hapo?
 
mibaba
nyie kila mtanzania mfanyabiashara ni mwizi. wazungu sio wezi.

mtatawaliwa tena.
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Ami R. Mpungwe BA (Hons.)
Non Executive Deputy Chairman, Chairman of Remuneration & Succession Planning Committee, Chairman of Management Committee, Member of Nominations Committee and Member of Audit & Risk Management Committee, Richland Resources Ltd.[/TD]
[TD="width: 65"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100"]
[TR]
[TD="width: 55"] Age[/TD]
[TD="width: 180"] Total Calculated Compensation
[/TD]
[TD] This person is connected to 56 board members in 7 different organizations across 8 different industries.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] 61[/TD]
[TD] $180,500[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Background*

Mr. Ami Ramadhan Mpungwe, B.A. (Hons.) served as First High Commissioner of Tanzania, South Africa since 1994.

Mr. Mpungwe has 25 years of service in the Tanzanian diplomatic service.

Mr. Mpungwe served as Advisor to the President of Africa and Middle East in the Foreign Ministry.

He served as Tanzanian Ambassador to South Africa for seven years.

Mr. Mpungwe has been the Chairman of the Tanzanian subsidiary since March 2000 and has been integral to its establishment and development.

He served as Chairman of the Board of Tanzanite One Limited from October 24, 2008 to July 2011.

He has been Non-executive Deputy Chairman of Tanzanite One Limited since July 2011.

He served as Non-executive Deputy Chairman of Tanzanite One Limited until October 24, 2008.

He served as Acting Chairman at National Bank of Commerce (1997) Limited.

He has been a Non Executive Independent Director of Illovo Sugar Ltd., since September 2009.

Mr. Mpungwe has been a Director of Tanzanite One Limited since August 1, 2004,

Tanzania Breweries Limited since January 2003.

He serves as a Non Executive Independent Director of Zambia Sugar plc.

He has been a Non-Executive Director of African Gem Resources since August 23, 2001 and Illovo Sugar (Malawi) Ltd., since October 25, 2006.

Mr. Mpungwe serves as a Director of National Bank of Commerce (ABSA, Tanzania),

LTA Construction, Multichoice (Tanzania) Limited and Air Tanzania (Tanzania).

He has been Director at National Bank of Commerce (1997) Limited since March 31, 2001.

He has been a Director of several companies since October 2001, appointed by SABMiller Africa & Asia. Since his early and voluntary retirement from the Diplomatic Corps, he appointed to several company boards in both South Africa and Tanzania.

He served as a Director of Zambia Sugar plc since 2007.

He served as a Non-Executive Director of Kilombero Sugar Company Limited of Illovo Sugar and several companies in Tanzania.

He served as a Director of Africa and Middle East in the Foreign Ministry.

He served as a Director of Illovo Sugar Ltd. from 2001 to September 7, 2006.

Mr. Mpungwe served as an Independent Non-Executive Director of Aveng Ltd. since September 2001.

In 1999, he received the Order of Good Hope from President Thabo Mbeki, South Africa's highest award granted to foreign citizens for his contribution to Peace, Democracy and Economic Change in Africa, the SADC region and South Africa and for establishing close bilateral ties between South Africa and Tanzania.

He is Businessman. Mr. Mpungwe holds a BA (Hons) degree in International Relations and Political Science and a diploma in International Law.
 
Ami Mpungwe alikuwa miongoni mwa madalali wa kwanza walioiza Tanzania. Alichana na ubalozi na kuingia kweny biashara na ndiye aliyeileta Tanzanite One ambayo naamini Thabo Mbeki naye ana-share!
 
Kwa kifupi kila "uwekezaji" toka SA huyu babu ana mkono wake..
 
Kama anadhani au kuamini kuwa alichofanya ni haki kwa nchi hii na watu wake basi ajitokeze hapa na atuambie!
 
Anaona mbali na ni mchapa kazi ndio mnamuonea usongo. Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Huyu jamaa ni mwenyeji wa kule ifakara .pia anamiliki hisa nyingi za dstv ndio maana hadi leo tunalipishwa kwa us dola na viongozi awana la kusema. Pia anausika na kupanda kwa bei ya sukari kwani kiwanda cha sukari kilombero amewekeza pale . Usisahau netgroup solution
 
Kumbe huyu bwana ni FISADI MFAWIDHI?
 
Wenzangu, salaam?

Nadhani sasa ni wakati muafaka wa kuweka wazi yale madili aliyofanya huyu bwana kwa jina la Ammy Mpungwe...wakati akina yona na mkapa wakiandaliwa kesi kwenda kwa vyombo vya sheria haitokuwa sawa huyu bwana akiachwa...si vizuri kumsahau...nadhani huyu ni fisadi mwalimu...huenda wengi wao wamejifunzia kwao...nadhani huyu ndo mwalimu wao hawa woote mnaowaona sasa...alicheza michezo michafu kuanzia pale NBC, TBL, TANESCO (yeye ndo alialeta wale wazungu), Madini kule mererani...and was/ is among the top men in their boards...si mnakumbuka alikuwa balozi kule south africa? nadhani kuna mtu alimtuma akafanye madili yale na lipomaliza akaacha ubalozi...
Huna Akili wewe Timu Msomali
 
Usitumie neno "nadhani " kuwasilisha hoja kwa watu wenye akili unless uwe kwenye mjadala wa familia. Sio mjadala wa kitaifa.
 
Ami R. Mpungwe BA (Hons.)
Non Executive Deputy Chairman, Chairman of Remuneration & Succession Planning Committee, Chairman of Management Committee, Member of Nominations Committee and Member of Audit & Risk Management Committee, Richland Resources Ltd.

Age Total Calculated Compensation This person is connected to 56 board members in 7 different organizations across 8 different industries.
61 $180,500

Background*

Mr. Ami Ramadhan Mpungwe, B.A. (Hons.) served as First High Commissioner of Tanzania, South Africa since 1994.

Mr. Mpungwe has 25 years of service in the Tanzanian diplomatic service.

Mr. Mpungwe served as Advisor to the President of Africa and Middle East in the Foreign Ministry.

He served as Tanzanian Ambassador to South Africa for seven years.

Mr. Mpungwe has been the Chairman of the Tanzanian subsidiary since March 2000 and has been integral to its establishment and development.

He served as Chairman of the Board of Tanzanite One Limited from October 24, 2008 to July 2011.

He has been Non-executive Deputy Chairman of Tanzanite One Limited since July 2011.

He served as Non-executive Deputy Chairman of Tanzanite One Limited until October 24, 2008.

He served as Acting Chairman at National Bank of Commerce (1997) Limited.

He has been a Non Executive Independent Director of Illovo Sugar Ltd., since September 2009.

Mr. Mpungwe has been a Director of Tanzanite One Limited since August 1, 2004,

Tanzania Breweries Limited since January 2003.

He serves as a Non Executive Independent Director of Zambia Sugar plc.

He has been a Non-Executive Director of African Gem Resources since August 23, 2001 and Illovo Sugar (Malawi) Ltd., since October 25, 2006.

Mr. Mpungwe serves as a Director of National Bank of Commerce (ABSA, Tanzania),

LTA Construction, Multichoice (Tanzania) Limited and Air Tanzania (Tanzania).

He has been Director at National Bank of Commerce (1997) Limited since March 31, 2001.

He has been a Director of several companies since October 2001, appointed by SABMiller Africa & Asia. Since his early and voluntary retirement from the Diplomatic Corps, he appointed to several company boards in both South Africa and Tanzania.

He served as a Director of Zambia Sugar plc since 2007.

He served as a Non-Executive Director of Kilombero Sugar Company Limited of Illovo Sugar and several companies in Tanzania.

He served as a Director of Africa and Middle East in the Foreign Ministry.

He served as a Director of Illovo Sugar Ltd. from 2001 to September 7, 2006.

Mr. Mpungwe served as an Independent Non-Executive Director of Aveng Ltd. since September 2001.

In 1999, he received the Order of Good Hope from President Thabo Mbeki, South Africa's highest award granted to foreign citizens for his contribution to Peace, Democracy and Economic Change in Africa, the SADC region and South Africa and for establishing close bilateral ties between South Africa and Tanzania.

He is Businessman. Mr. Mpungwe holds a BA (Hons) degree in International Relations and Political Science and a diploma in International Law.
Aisee, jamaa amekula mema sana. Inaonekana kabisa ni mtu wa mishe hasa.
 
Ami Mpungwe alikuwa miongoni mwa madalali wa kwanza walioiza Tanzania. Alichana na ubalozi na kuingia kweny biashara na ndiye aliyeileta Tanzanite One ambayo naamini Thabo Mbeki naye ana-share!
Dstv tz yenyewe Ana mkono

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom