Weka mafuta ya kutosha acha ubahili boss.Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash. Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena. Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii? Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Ya kutosha kama kiasi gani labda, kwa mujibu wako?Weka mafuta ya kutosha acha ubahili boss.
Kwamba tank na pipe labda kuna blockage au kitu gani? Ahsante boss.Kakague gari kuanzia kwenye tank, pipe zote hadi kwenye sensor.
Jaribu tu kuweka nusu tank uone kama changamoto iraendelea. Otherwise mwone daktari akague chuma.Ya kutosha kama kiasi gani labda, kwa mujibu wako?
Inaweza kuwa zina leakage kama sensor ya gauge itakuwa nzima.Kwamba tank na pipe labda kuna blockage au kitu gani? Ahsante boss.
Ahsante mkuu.Inaweza kuwa zina leakage kama sensor ya gauge itakuwa nzima.
Tanzania SHELL unaipata wapi? Wewe huna gari. Ungekuwa na gari ungejua hakuna shell tz. Usitupotezee mudaHabari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena.
Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii?
Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Tanzania SHELL unaipata wapi? Wewe huna gari. Ungekuwa na gari ungejua hakuna shell tz. Usitupotez
Shell ni kampuniUnajifunza kiingereza kwa kukariri maneno? Hapa nchini, kituo chochote cha mafuta kinaitwa shell. Usikariri!!
Kumbuka mafta ya 10000 kwa sasa ni kama lita 2 point something so ni kiasi kidogo tuHabari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena.
Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii?
Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.
Naelewa kuwa ni kampuni kama yalivyo makampuni mengine kama BP, Lake, Total, Agip na mengine mengi.Shell ni kampuni
Gari yangu inaenda km 13 kwa lita moja. Kwa hiyo, kitendo cha lita 4 kwenda km 6 tu ni indicator ya tatizo. Huwezi kulibaini kwa kuweka mafuta mengi.mkuu weka mafuta hata ya 50k acha ubahili.