Ajali yatokea Skansika Tegeta darajani

Ajali yatokea Skansika Tegeta darajani

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,179
Reaction score
320
Nimepita hapo muda huu nimesimama kama dk 5, mzee wa makamo alikuwa anatokea upande wa mjini kuelekea Tegeta apata ajali mbaya na kumuamisha upande wa pili.

Kisa cha ajali ni breki ya ghafla.

Hali ni tete, vijana wafanya yao wachukua pesa na simu.

Polisi wameshindwa kuzuia vurugu.
 
Duh! Asante kwa taarifa. Nimekipenda kiswahili chako, kinapunguza makali ya taarifa! Waliojeruhiwa wapone haraka...
 
Hizi ajali hivi chanzo ni uzembe, ubovu wa magari au ndio mauzauza?
 
%kubwa ya ajali ni mauzauza ni mashetani tu apo yanawinda watu ...ukitaka kuamini hili mtafute dereva yyte wa gari la aburia au lolote muulize wanavyo viona barabarani atakueleza mkuu.....
 
RIP Mzee wetu. Dada yangu Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu ametoa, Mungu ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
 
Sorry, hayo mashetani yako Tanzania?
 
%kubwa ya ajali ni mauzauza ni mashetani tu apo yanawinda watu ...ukitaka kuamini hili mtafute dereva yyte wa gari la aburia au lolote muulize wanavyo viona barabarani atakueleza mkuu.....

mkuu barabarani kuna mauzauza sn niliwahi kusafiri na gari night km saa sita hivi natoka moro kuna mahala nilifika niliona lami yote ni nyekundu nikajua labda imepakwa rangi lakini nilipopunguza mwendo ile rangi ilififia na nikiongeza speed lami inazidi kuwa nyekundu ili nibidi nisimame nisubiri wazoefu ndo wakanambia hiyo ni ishara mbaya sn ikabidi nitembee na speed ya 40!

Barabarani kuna mambo.
 
RIP Mzee wetu. Dada yangu Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mungu ametoa, Mungu ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.

Poleni kwa msiba ebu funguka zaidi,marehemu alikuwa kwenye gari au ni mpita njia?
 
mkuu barabarani kuna mauzauza sn niliwahi kusafiri na gari night km saa sita hivi natoka moro kuna mahala nilifika niliona lami yote ni nyekundu nikajua labda imepakwa rangi lakini nilipopunguza mwendo ile rangi ilififia na nikiongeza speed lami inazidi kuwa nyekundu ili nibidi nisimame nisubiri wazoefu ndo wakanambia hiyo ni ishara mbaya sn ikabidi nitembee na speed ya 40!

Barabarani kuna mambo.

Nimeogopa!
 
Nimeogopa!

Halafu mauzauza hupenda sana watu waoga....

Kutembea usiku na magari inahitaji ukaze roho...

Wakati mwingine unaweza kukuta watu wametandika jamvi barabarani wanakula na kunywa...

Ukijifanya kufunga breki tu....lazima uimbiwe parapanda italiaaaa parapanda
 
%kubwa ya ajali ni mauzauza ni mashetani tu apo yanawinda watu ...ukitaka kuamini hili mtafute dereva yyte wa gari la aburia au lolote muulize wanavyo viona barabarani atakueleza mkuu.....
Aburia=Abiria
 
Ukiendesha gari huku umelewa, una njaa na una stress ya kodi ya pango: lazma uone maruweruwe. Hakuna cha mashetani wala nini
%kubwa ya ajali ni mauzauza ni mashetani tu apo yanawinda watu ...ukitaka kuamini hili mtafute dereva yyte wa gari la aburia au lolote muulize wanavyo viona barabarani atakueleza mkuu.....
 
mkuu barabarani kuna mauzauza sn niliwahi kusafiri na gari night km saa sita hivi natoka moro kuna mahala nilifika niliona lami yote ni nyekundu nikajua labda imepakwa rangi lakini nilipopunguza mwendo ile rangi ilififia na nikiongeza speed lami inazidi kuwa nyekundu ili nibidi nisimame nisubiri wazoefu ndo wakanambia hiyo ni ishara mbaya sn ikabidi nitembee na speed ya 40!

Barabarani kuna mambo.

Uchovu wa mwili, kuendesha kwa muda mrefu na mwendo kasi ulio kithiri.
Mambo hayo huweza kusababisha akili na macho kupata maumivu ambayo hupelekea muhusika kuona taswira zisizo halisi
 
%kubwa ya ajali ni mauzauza ni mashetani tu apo yanawinda watu ...ukitaka kuamini hili mtafute dereva yyte wa gari la aburia au lolote muulize wanavyo viona barabarani atakueleza mkuu.....

lame excuses...
 
mkuu barabarani kuna mauzauza sn niliwahi kusafiri na gari night km saa sita hivi natoka moro kuna mahala nilifika niliona lami yote ni nyekundu nikajua labda imepakwa rangi lakini nilipopunguza mwendo ile rangi ilififia na nikiongeza speed lami inazidi kuwa nyekundu ili nibidi nisimame nisubiri wazoefu ndo wakanambia hiyo ni ishara mbaya sn ikabidi nitembee na speed ya 40!

Barabarani kuna mambo.

hamna lolote ulikuwa umechoka...unasinzia na kuota au ulikuwa umelewa halafu
 
mkuu barabarani kuna mauzauza sn niliwahi kusafiri na gari night km saa sita hivi natoka moro kuna mahala nilifika niliona lami yote ni nyekundu nikajua labda imepakwa rangi lakini nilipopunguza mwendo ile rangi ilififia na nikiongeza speed lami inazidi kuwa nyekundu ili nibidi nisimame nisubiri wazoefu ndo wakanambia hiyo ni ishara mbaya sn ikabidi nitembee na speed ya 40!

Barabarani kuna mambo.

Sio mauza mauza Mwenyezi Mungu hutumia mbinu nyingi sana kuwalinda watu wake. Unawezakuta speed uliyokuwa nayo usiku huo ingepelekea kifo chako hivyo mwenyezi Mungu kwa kukuepushia kifo akawa anakuonyesha kuwa punguza speed kwa kutumia mbinu hiyo ndo maana kila ulipopunguza wekundu ulitoweka. Mara nyingi ni vizuri kufikiria pande mbili.
 
Ukiendesha gari huku umelewa, una njaa na una stress ya kodi ya pango: lazma uone maruweruwe. Hakuna cha mashetani wala nini

My umeongea point sana, wanaendasha huku wamelewa pombe na bangi. ukiongeza na tabia za madereva kupenda ushirikina lazima waone mauza uza.
 
Back
Top Bottom