Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,774
- 6,588
Naona unabet mechi iliyo hairishwa?Usiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Hata ikitokea hivyo hiyoAlizeti will be free
Mkuu,mimi sio chawa wa mtu yeyote yule,ila kwa sababu ya hoja zangu nilizoeleza hapo juu nina mashaka na huyu mtuHuyo hajakufuatilia au ni chawa kundi fulani la kisiasa za kihuni.
Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna siku watu wengi mtakubaliana na mimiWachaga wuwongo wewe.
Kama ni unufaika wa mifumo basi angalau hata enzi za JPM aliyefajamiana naye, lakini huyu wa sasa hakuna kitu hiyo. Anafahamiana na wengi wengi lakini siyo kwa faida za kimfumo. Halafu kuhusu siri hakuna wakati serikali ipo uchi halafu inaishi kwenye nyumba ya vioo bila mapazia na taa zimewashwa kama kipindi hiki.
Kipindi hiki serikali ipo wazi sana
Kama ume comment kwa kutumia uzoefu hapo sina shida, ila katika uhalisia haipo hivyo kabisa.Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna siku watu wengi mtakubaliana na mimi
Hivi aliishia wapi yule kigogo2014 wa Twitter?
Hiyo ya kigogo nimeongezea tu mkuu,lakini hizi siri ni za watu wachache hazivuji hovyoKama ume comment kwa kutumia uzoefu hapo sina shida, ila katika uhalisia haipo hivyo kabisa.
Kwa kariba yake yule, haki akiachiwa kwa msamaha huyo alotoa msamaha atajutia huo uamuzi wake labda wamsihi sana akija amezee ki utu uzimaAlizeti will be free
Kama Mange appπToka isemekane kule telegram kuna kulipia hela, nimepunguza imani na intel za huyu mwamba.
Nadhani watanzania sasa tunageuzwa daraja la kujipatia kipato kwa watu kwa kuuza taarifa ambazo kimsingi haziongezi value yoyote kwenye maisha yetu ya kawaida
Ni bora taarifa zenyewe zinazouzwa zingekuwa zinatoa wayfoward ya matatizo yanayolikabili Taifa letu kuliko hizo speculations ambazo pengine wanaamua tu zije public ili wao waendelee na mambo yao kwa kujua kwamba hazina madhara yoyote kwao
Mifumo ina watu wa kila aina pengine mtaalamu Britanicca ni sehemu ya mfumo na sasa ameamua ajiongeze kwa kujiongezea kipato
Mfungwa ambaye ambaye yuko katika mchakato wa kukata rufaa anaweza kupewa msamaha wa rais?msamaha wa wafungwa ukitokea siku hiyo, mahakama wanakua kazini?
Huyu ana msimamo na muendelezo.Kwa jinsi mambo yanavyoenda kuna siku watu wengi mtakubaliana na mimi
Hivi aliishia wapi yule kigogo2014 wa Twitter?
Yeah kipindi kile alitoa taarifa za ukweli kabisa na sasa anatoa taarifa za upotoshaji ni katika muendelezo huohuo wa utoaji huo wa taarifaHuyu ana msimamo na muendelezo.
Alianza kufanya haya kabla ya Magu akaendeleza mpaka sasa.
Sasa ametoa taarifa sahihi zaidi ya 80%.Yeah kipindi kile alitoa taarifa za ukweli kabisa na sasa anatoa taarifa za upotoshaji ni katika muendelezo huohuo wa utoaji huo wa taarifa
Ingawa ukisoma taarifa zake unaweza sema anasaidia ila kumbe ndo anapotosha
Very very right.Toka isemekane kule telegram kuna kulipia hela, nimepunguza imani na intel za huyu mwamba.
Nadhani watanzania sasa tunageuzwa daraja la kujipatia kipato kwa watu kwa kuuza taarifa ambazo kimsingi haziongezi value yoyote kwenye maisha yetu ya kawaida
Ni bora taarifa zenyewe zinazouzwa zingekuwa zinatoa wayfoward ya matatizo yanayolikabili Taifa letu kuliko hizo speculations ambazo pengine wanaamua tu zije public ili wao waendelee na mambo yao kwa kujua kwamba hazina madhara yoyote kwao
Mifumo ina watu wa kila aina pengine mtaalamu Britanicca ni sehemu ya mfumo na sasa ameamua ajiongeze kwa kujiongezea kipato
πππ ni hadaa hizi storyKwamba yeye vikao vyote vya siri yupo na akitoka kwenye vikao vya siri anakuja kutupatia sisi taarifa baada ya hapo hashtukiwi kama yeye ndo mtoa siri
britanicca tafadhali mkuu
Ndio,anavujisha taarifa sahihi alizopewa ili azivujishe kwa sababu hazina madhara yoyote kwao.Sasa ametoa taarifa sahihi zaidi ya 80%.
Chache sana hazikuwa sahihi.
Mkuu,mimi hiki kitu nimekiobserve muda mrefu sana ila nilikuwa nikianza kutype nafuta kwa sababu nilijua watu wangenipinga sanaHuu uzi 70-80% ni negative tofauti na nyuzi zake za kitambo watu wamesanuka?? Watz wamegoma kuishi kwa matumaini hewa??
Setting zake ni tofauti na hizo account nyingine kwa ajili ya Usalama wa subscibers wake