Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,993
- 4,118
Kwani mahakama watakuwa kazini hizo tarehe?Mkuu mm nipo hapa nyakakarango ...... Unaweza sogea tukanywa hiyo Rubisi wote tufungue code ambayo kimsimgi inamlenga TL kuachiwa huru.
Huelewi huwa Kuna msamaha wa.... Siku ya uhuru?Ku
Kwani mahakama watakuwa kazini hizo tarehe?
Rudieni tena muone. Tanzani ya sasa siyo ile mlioishika kidevu 10/29. Mbona mnapanga kila wakati mara 7/7 mara 8/8 lakini hakuna Mbwa yeyote au Paka anayejaribu.Waliokuwa wanawachochea wenyewe wanawakimbia. Mtaandika kwa mashairi,nahau ,vitendawili na misemo ya kila namna ila hii ingefaa zaidi kwa kuwapatia maksi za darasani mkiwa skuli.Kwa sasa hakuna wa kuwachekea tena.Usiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Hukuna lolote, hakuna chochote kitakachotokea siku hiyo kwasababu ni YEYE Mwenyewe aliyeamua, then ni YEYE Mwenyewe ataamua!.09/12.
Britanicca
Naomba na mimi mkuu omNaogopa kupigwa ban Ila inahusu Lissu na wazee wa CCM wanaogoma wasira yumo, napiga picha andiko kwa simu nyingine nakutumia PM
Sikia mbona ni easy just ignore him waache wanaoamini waendeleeeBrother britanicca hizi habari hazina maajabu yoyote mkuu kwa mfano wakitaka kutengua mtu wanakupa wewe taarifa ili uvujishe lengo ni uendelee kujipatia credibility after hapo watu wanakuamini hivyo hata ukitoa taarifa za kuwapa watu matumaini hewa wanakuamini huku wao wakiendelea kubuy time hadi 2030,
Wewe ni upande wao tangu miaka hiyo hadi leo,
Unavujisha taarifa ulizopewa uvujishe na zisizo na madhara kwao
Nimekusema leo na sitorudia kukusema tena brother
kwaiyo jamaa muongoHukuna lolote, hakuna chochote kitakachotokea siku hiyo kwasababu ni YEYE Mwenyewe aliyeamua, then ni YEYE Mwenyewe ataamua!.
P
Tanga na NyikaSherehe za maadhimisho ya uhuru kuna nini tena
kwa msamaha wa rais? wkt dpp nasikia anafungua kesi kupinga hukumu?Lissu ataachiwa tarehe tisa
okHukuna lolote, hakuna chochote kitakachotokea siku hiyo kwasababu ni YEYE Mwenyewe aliyeamua, then ni YEYE Mwenyewe ataamua!.
P
Mkuu msamaha wa mfungwa namba 623/2026 utawezekana kweli?Usiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Siku ambayo losu atatoka gerezaniUsiniulize nini kitatokea.

Watu hawapendi vitu logic,kigaila asemema mambo facts sana,ispokuwa kama wewe ni kipenzi koko cha chadema huna budi kuondosha ubongo kwanza kusudi urushe tusi na ukane bila kutafakari.Braza muongo wewe,kama kigaira
Taarifa mbaya ikiwahusu wakosoaji hio ni uhakika, ila taarifa mbaya ikiwahusu washika mpini hio ni ngumu kutokea(ni wale wale tu).Brother britanicca wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo na ndio maana awamu ya 5 ulikuwa unavujisha info za uhakika kwa sababu ulikuwa unapewa uzivujishe
Sasa hivi habari zote unazotoa ni kwa lengo la kupumbaza watu na kuwapa matumaini hewa.
There is no way kwa utawala huu uvujishe taarifa nyeti na usipatikane, NEVER ,hayo yalitokea awamu ile na hayatojirudia,
Kwahiyo bro acha kupotosha humu,mimi nimekufuatilia kwa ukaribu kwa kipindi kirefu sana,wewe ni mpotoshaji 100% na uache hiyo tabia mara moja ingawa hata usipoacha sina la kukufanya,
Kuna muda unapewa taarifa za ukweli zisizo na madhara uzivujishe ili uendelee kujipatia credibility humu