Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 357
- 923
Huyu ni wakupuuzwa tu sioni cha maana kwake , basi wabongo ndio tunaona anafanya jambo la maana , hakuna info hata moja aliyowai itoa ikawa na impact yoyote kwenye mapambano zidi ya chama tawala.Basi na aendelee kuzingatiwa na wanaomzingatia
Kwamba yeye vikao vyote vya siri yupo na akitoka kwenye vikao vya siri anakuja kutupatia sisi taarifa baada ya hapo hashtukiwi kama yeye ndo mtoa siriBora umemsanukia
sijawai fikria kuwa UVCCM mkuu, ila huyu jamaa hizo info zake sioni ka zina impact yoyote kwetu katika kukiondoa chama cha mapinduzi madarakani,Uvccm mmepanic 😄
Brother britanicca hizi habari hazina maajabu yoyote mkuu kwa mfano wakitaka kutengua mtu wanakupa wewe taarifa ili uvujishe lengo ni uendelee kujipatia credibility after hapo watu wanakuamini hivyo hata ukitoa taarifa za kuwapa watu matumaini hewa wanakuamini huku wao wakiendelea kubuy time hadi 2030,Usemayo ni kweli mi ni wa kupuuza sana kwa kweli
1. DOKEZO - Responded - Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote
2. Ni kweli nipuuzwe mkubwa
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwaMkuu,
Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale.
Pia soma:
Britanicca.
- Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
- Kauli ya January Makamba ''hata kama hatumkubali Samia ni wetu'', ina maana gani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry...
- britanicca
- january makamba kuelekea 2025 nape nnauye siasa tanzania utenguzi january makamba utenguzi nape nnauye
- Replies: 273
- Forum: Jukwaa la Siasa
3. Usisite kunipuuza mwenzangu
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Pia soma >> GE2025 - Makonda: Nililishwa sumu nikiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ilikuwa nife mwaka jana
- britanicca
- afrika kusini makonda afrika kusini makonda apewa sumu makonda mtoto pendwa mbinguni mtoto pendwa paul makonda
- Replies: 1,436
- Forum: Jukwaa la Siasa
4. Usisite kunipuuza mkuu wangu
Acha uongo! Kuna watu wanaendelea kupukutishwa soon
Wale wa TCRA na TTCL walioandika mabango ya pongezi kwa Nape unadhani Peter Ulanga au Justina Mashiba wako salama? 😁
Wale walio karibu na Janaury Makamba na timu yake ambao wamekuwa kutwa nzima ni kumbrand kuliko Rais wenyewe na wale Mawaziri marafiki zake Mfano mapingili akiponea hapa baaasi hatarudia upuuzi wa kumbrand Mtanga mwenzake,
Account za bwana mmoja ambaye ana 81B alizokuwa akibadilisha kwa dollars kama njugu wamei freeze hapo kwenye Ngamia mchangani
Kwa kifupi mambo si mambo hapa ikulu
Britanicca
5. Endelea na Mpuuzo jamaa yangu
Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho!
Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻
Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe.
Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA BRAND kufunga mdomo, na kumweka pembeni,
Akaja kwa KIROBOTO akampukutisha kwenye shamba la bangi huko mbaaliii,
Akaenda kwa mwenye harufu ya Maji taka kisa Ujalala jalala jalala akamtia chini
Tukadhani katulia,,
Akaenda kwenye KARIMJEE Mpya akamweka mtu kizuizini kisa naye alimkataaa kwasababu...
- britanicca
- bundi kiangazi majani mbeya mchezo mkubwa
- Replies: 468
- Forum: Jukwaa la Siasa
6. Jamaa usisite kulipuuza hili Puuzi Britanicca
Tiyari huko
- britanicca
- barua
- Replies: 226
- Forum: Jukwaa la Siasa
7. Apuuzwe Britanicca
Swali tu wananchi wanaomba sana uwajibikaji katika kila sekta, je inaweza tokea makamu wa rais akajiuzulu?
Uwajibikaji si dalili ya udhaifu, bali ni hatua ya kwanza ya upendo baada ya kushindwa. Na hili Mara zote viongozi wa Afrika uwa wanashindwa,
Kwa ka skendo fulan nimepata ! Je yawezekana Makamu akamwaga manyanga?
Si lazima iwe leo nasema tu je kwa aina ya viongozi wetu wa Afrika inakujia akilin kwamba one day anaweza wajibika ?
Nimeyasoma yaliyopo kwenye laptop ilokuwa ya Polepole ni halali hata Mauzi kukimbia nchi
Britanicca
- britanicca
- inaweza makamu makamu wa rais mkuu rais waziri waziri mkuu
- Replies: 177
- Forum: Jukwaa la Siasa
Aisee ni mengi sana ya kumpuuza Britanicca
Haya ni robo ya alosema kipindi cha Samia
Ya KATTO Bado sikuweka
Britanicca
Sawasawa...!!.Ukimalizana naye sogea hapa nyakayondwa tuifungue code
Fungua code JAPO MBILi mwana kwetuYaan nimesoma kule telegram ngoja nimpigie kubenea au Gwajima! Kumbe Wasira ni Msenge sana
We mwenyewe unamzingatia , maana umesema umemfuatilia toka awamu ya nne . Wabongo bhana 🤣Watu wanamzingatia,sitaki nimpuuze mimi tu,nataka apuuzwe na wengi.
Sawa bro lakini fikiria huyu mtu anayepata taarifa zote nyeti and still hakamatwi na hashtukiwi,wewe unadhani taarifa nyeti wanapewa watu wengi hadi zitapakae kiasi hicho?We mwenyewe unamzingatia , maana umesema umemfuatilia toka awamu ya nne . Wabongo bhana 🤣
Britanicq na msigwa gerson hawana tofauti.Nisamehe braza,ila punguza kutupa matumaini hewa
Umeelewa alichoandika au unaropoka tu posho ya 7000 iingieSangwenya mpiga ramli bana, ushirikina wako katika kipindi hiki cha sayansi na teknilojia ni kitu useless sana aise
ila unawakama maskio Masangwenya wenzako vizuri sana, hasa wale wanaoamini katika porojo za kinabii za mijusi ambao wao huwaita majasusi 🐒
Alizeti will be freeUsiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Kumbe wengi tumemshtukiaIzi ni porojo aka takataka..
Aisee ila wee jamaa una mambo mengi hadi tunachanganyikiwaUsiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Mimi ni mstahimilivu lakini nitawafunga na sio kuwapoteza,mafisadi watalima mchicha kabisa na mtawaona kwenye magari ya wafungwa na sare zao za orange!!Ya KATTO Bado sikuweka
hiyo porojo na ramli useless sio?Umeelewa alichoandika au unaropoka tu posho ya 7000 iingie
Hamna kitu kitakachotokea. Kwanini kisubiri tarehe yenye tukio maalum kama kina nia ya kutokea!Usiniulize nini kitatokea.