09/12 siku mlango utakavyolia

Brother britanicca wewe ni miongoni mwa wanufaika wa mfumo na ndio maana awamu ya 5 ulikuwa unavujisha info za uhakika kwa sababu ulikuwa unapewa uzivujishe

Sasa hivi habari zote unazotoa ni kwa lengo la kupumbaza watu na kuwapa matumaini hewa.

There is no way kwa utawala huu uvujishe taarifa nyeti na usipatikane, NEVER ,hayo yalitokea awamu ile na hayatojirudia,

Kwahiyo bro acha kupotosha humu,mimi nimekufuatilia kwa ukaribu kwa kipindi kirefu sana,wewe ni mpotoshaji 100% na uache hiyo tabia mara moja ingawa hata usipoacha sina la kukufanya,

Kuna muda unapewa taarifa za ukweli zisizo na madhara uzivujishe ili uendelee kujipatia credibility humu
 
Hizi kodi za leo zinahitaji Konyagi kubwa na Kilo nzima ya kitimoto ili kuweza ku uncode
 
Mikwala ya Nini sasa,si umpuuze
 
Bora umemsanukia
 
Usemayo ni kweli mi ni wa kupuuza sana kwa kweli

1. DOKEZO - Responded - Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

2. Ni kweli nipuuzwe mkubwa


3. Usisite kunipuuza mwenzangu


4. Usisite kunipuuza mkuu wangu



5. Endelea na Mpuuzo jamaa yangu


6. Jamaa usisite kulipuuza hili Puuzi Britanicca


7. Apuuzwe Britanicca



Aisee ni mengi sana ya kumpuuza Britanicca
Haya ni robo ya alosema kipindi cha Samia

Ya KATTO Bado sikuweka


Britanicca
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…