Naogopa kupigwa ban Ila inahusu Lissu na wazee wa CCM wanaogoma wasira yumo, napiga picha andiko kwa simu nyingine nakutumia PMKule huwezi ku screen short mkuu. Tupe tu taarifa ya kuambiwa, kasema nini kuhusu hiyo tarehe?
OkNaogopa kupigwa ban Ila inahusu Lissu na wazee wa CCM wanaogoma wasira yumo, napiga picha andiko kwa simu nyingine nakutumia PM
We Fala kweli 🤣🤣🤣
Nisamehe braza,ila punguza kutupa matumaini hewaAyeyeye huyo wa CHAUMA? Niombe radhi tafadhali
Mbona za wengine na screenshot inakubaliWe Fala kweli 🤣🤣🤣
Ndio ujue kule security yake si ya kitoto
Kafanya settings kwenye Privacy and security hauwezi ukaforward ku copy au ku screenshot
Okay nimeelewa hata ku download picha anaziweka hauleti option ya kusevuKafanya settings kwenye Privacy and security hauwezi ukaforward ku copy au ku screenshot
Nitumie pia mkuuNaogopa kupigwa ban Ila inahusu Lissu na wazee wa CCM wanaogoma wasira yumo, napiga picha andiko kwa simu nyingine nakutumia PM
Tunga mashairi tu chief...Usiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Telegram mbina mm ni muda siwez kulog inNgoja nisogee telegram najua kule kila kitu kiko wazi.
Sangwenya mpiga ramli bana, ushirikina wako katika kipindi hiki cha sayansi na teknilojia ni kitu useless sana aiseUsiniulize nini kitatokea.
Uliza tu mbona nyota za mwezi wa kumi na mbili zinang'aa tofauti mwaka huu.
Kuna tai aliyezoea kuruka juu ya milima,
Sasa anaota anaruka tena. Kila usiku anahesabu nyota kwa kidole kimoja.
Walisema mlima umemfunika,
Kumbe mlima ni kivuli tu. Kivuli hakiwezi kumzuia tai kuruka milele.
Tisa ni namba ambayo wazee hawaitamki kirahisi.
Tisa ni siku ambayo mto utabadilisha mwelekeo wake bila kelele.
Tisa ni siku ambayo jiwe litalijua jina lake la zamani.
Mzee wa nyumba kubwa anadhani amefunga upepo kwenye chupa,
Kumbe upepo umeshakuwa wimbo mdomoni mwa watoto.
Andika hii moyoni, usiandike kwenye karatasi:
Mwezi ukikamilisha safari yake, mlango utajikumbuka wenyewe.
Waliokuwa wakicheka watanyamaza kama usiku wa manane, Waliokuwa wakisubiri watainua mikono bila kusema neno.
Usiseme umeambiwa.
Sema tu ulisikia ndege akiimba usingizini.
09/12.
Britanicca
Kigaila bhana!Braza muongo wewe,kama kigaira
Usiniulize nini kitatokea.

Mkuu mm nipo hapa nyakakarango ...... Unaweza sogea tukanywa hiyo Rubisi wote tufungue code ambayo kimsimgi inamlenga TL kuachiwa huru.Niko Hapa Rubambangwa Chato Nimenunua Bumunda Na Rubisi Toka Ibamba Kyerwa
Ninywe Ili Niweze Kufungua Code Ngumu
😅 Ana app yakuzui la kukopi Wala kuscreeen shoot.
Na hii ni ID yako nyingine ?Ngoja nisogee telegram najua kule kila kitu kiko wazi.