Kwanza ni hatua kubwa sana tumepiga kwa kuwa na kiwanda cha kutengeneza ndege nchini. Tunapaswa kujipongeza. Kampuni ya Skyleader wanakiwanda cha kuunda ndege mjini Morogoro. Je ndege hizi zinagharimu kiasi gani?
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
TSHIRT MPYA KUTOKA CHINA ZINAUZWA KWA BEI YA JUMLA
ZIPO SIZE MBALIMBALI
KUANZIA PIECE 100 Tsh 3,400
UKIWA NA Tsh 340,000 UNAPATA BANDO LA TSHIRTS. UKIHITAJI PIECE ZAIDI YA 1000 UNAPATA
TUPO DAR ES SALAAM MTAA WA AGGREY KARIBU NA KITUMBINI
UNAWEZA UKAFIKA MWENYEWE AU UKATUMA MTU...
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000
Bei mln 19 maongezi yapo kidogo
0675 065906
1. Ipo karibu na Open University ukubwa wa eneo hatua 12*8 = Bei Mil34
2. Ipo Kinondoni shamba karibu na Muslim, ukubwa wa eneo 20*12= Bei Mil 52
3. Ipo Kinondoni shamba ukubwa wa eneo 16*12 = Bei Mil 52 (Hii inahitaji marekebisho kidogo)
4. Ipo Kinondoni karibu na Shule ya Muslim ukubwa wa...
Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri.
Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi Nikafika Hapa.
Binafsi Mimi Ni Dalali/Middleman Ivyo Hii Ni Moja Ya Sehemu Ya Kazi Zangu Za Kila...
Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k
Wasiliana nasi 0712347749
Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji.
Key zipo 4
Alarm sound
Brand New
Bei 750,000/=
Nauza Pvc trunk used ziko za aina mbili 150mm×50mm dukani 18k mimi nauza 9000 na 50mm×50mm dukani 9000 mimi nauza 6000. ukitaka zote nauza kwa 6000 ziko 20. Karibu niko Dar 0744117116
Habari,
Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer.
MF135-46Horsepower
MF158-63 Horsepower
Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics).
Hazijatumika Tanzania.
Bei MF135...
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa.
Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye usaili jijini Dodoma.
Sasa angalia maajabu yanayojitokeza.
1. Walioteuliwa mpaka sasa ni around 8...
Wakuu, Heri ya mwisho wa week kwenu nyote
Wakuu, nina mzigo mkubwa sana wa Subwoofer hizi bora kabisa na pendwa hapa mjini,
Mzigo huu una sifa zote zinazohitajika kwa matumizi ya kijana wa kisasa kama vile
◽Remote control
◽Bluetooth
◽USB port
◽Fm radio
◽Warranty mwaka
✅Free delivery in Dar...
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa.
Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda popote Tanzania kwa gharama nafuu. Ukihitaji njoo PM tuongee biashara.
Asante.
Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani?
Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
Nauliza wapi zinauzwa mashine hizi za kumwagilia dawa za kuua wadudu kwenye mimea kama vile mikorosho, zinatumia mafuta zinaitwa mist duster-power sprayer, hubebwa mgongoni na hutumia petrol ili kusukuma maji/dawa kwa nguvu hadi kufikia umbali mrefu bila shida.
Tv showcase nzuri zinavutia zipo kimara mwisho naziuza kila moja tsh 130,000/=
Unaweza piga/whatsap 0719478826
Deliver nafanya pia ukihitaji✅
Karibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.