ziara

Al-Ziyarah (Arabic: الزيارة‎, also spelled Zeyareh) is a town in northern Syria, administratively part of the Hama Governorate, located 75 kilometers northwest of Hama. It is situated in the Ghab plain, on the eastern bank of the Orontes River. Nearby localities include Qarqur 7 kilometers to the north, Sirmaniyah to the northwest, Qastun to the east and Farikah, Khirbet al-Arus and al-Amqiyah Tahta to the south. According to the Syria Central Bureau of Statistics, al-Ziyarah had a population of 3,541 in the 2004 census. It is also the center of the Al-Ziyarah Nahiyah ("subdistrict"), part of the Al-Suqaylabiyah District, consisting of 25 localities and with a combined population of 38,872 in 2004.

View More On Wikipedia.org
  1. Etwege

    Hivi ndivyo itakavyokuwa ikiwa Rais wa Urusi atafanya ziara nchini Tanzania

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hapandi tu ndege na kufikia hotelini. Kila safari yake ni operesheni ya kijeshi na kiintelijensia. Endapo angetua Dar es Salaam, hivi ndivyo itifaki ya ulinzi wake ingetekelezwa nyuma ya pazia: Miezi kadhaa kabla, Moscow na Dodoma zinakamilisha itifaki za...
  2. M

    Ziara za kuzindua miradi zimeisha naona uapisho zaidi

    Hakuna ziara za kuzindua miradi siku hizi. Ni ziara za kusikiliza kero na uapisho wa viongozi husasan tume tume tu! Kulikoni!? Nchi imesimama au!?
  3. Zack Abdul

    Ziara ya Dkt. Mwigulu Nchemba Shinyanga yaleta tabasamu la mama kwa Wananzengo-Isemalagazi

    Wasema "kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kumtuma Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu kuja Shinyanga Vijijini hii ndiyo aina ya Viongozi tunaowataka" Waziri Mkuu Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameendelea na ziara...
  4. Zack Abdul

    Ziara ya Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi, katika Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi na Pwani.

  5. figganigga

    Ziara ya London ya Mwigulu Nchemba: Serikali ya Uingereza yajificha. Hakuonana hata na mmoja.. Hakupata muwekezaji hata mmoja

    "Watanzania Wanahitaji kujua ni nani atakuja Tanzania, ataleta kiasi gani cha fedha, atajenga nini, ataajiri Watanzania wangapi na mradi huo utaanza lini. Hapo ndipo mafanikio ya ziara ya London yatakapoweza kupimwa kwa ushahidi si kwa idadi ya mikutano iliyofanyika na kututumia picha za...
  6. K

    Jina la Mada: Diplomasia ya “Kasuku” na Miujiza ya Catalonia: Uchambuzi wa Kihistoria Kuhusu Ziara ya Waziri Wetu FC Barcelona

    Wakuu salama, Nimeona post ya mdau mmoja huko Instagram kaandika: MY TAKE YANGU MIMI KIJANA WA IFOZA (KWA WELEDI MKUBWA): Kwanza kabisa, ni dhahiri kuwa mdau wa post hiyo hapo juu ameandika kwa lugha ya kejeli na dhihaka kubwa mno, akiwakejeli waziwazi wanahabari wetu pamoja na Mheshimiwa...
  7. Idugunde

    Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  8. Carlos The Jackal

    Ziara za Makonda, Kuna kitu hakipo sawa kwa Top Officials wa GVT !! Kuna Mtu anauacha Urais au Mwigulu anapigwa Chini !

    Ngoja tuone wataendelea kuficha Hadi lini!!
  9. L

    Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Atua Tabora kwa Ziara ya Siku 4 Kukagua Utekelezaji Wa Miradi ya Afya inayotekelezwa Chini Ya Taasisi Yake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Ameingia na Kutua Mkoani Tabora kwa Ziara ya kikazi ya Siku nne . Ambapo katika Ziara hiyo Atafanya ukaguzi Wa Utekelezaji wa miradi ya Afya inayotekelezwa Chini ya Taasisi yake ya Jakaya...
  10. H

    Kishindo cha ziara ya kushtukiza ya Dkt. Mwigulu yaacha neema kwa wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, ambapo alitembelea baadhi ya wodi za mama na mtoto. Siku kadhaa baadae timu ya ufuatiliaji na tathmini ikapita katika hospitali hiyo ili kuangalia mapokeo na furaha waliyo nayo wananchi...
  11. Mshana Jr

    Je zilikuwa ziara za kuaga(na)?

    kuna mlolongo wa ziara za Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa viongozi wakuu wastaafu katika miezi ya karibuni, na baadhi yake zilikuwa karibu sana na kujiuzulu kwake. Lakini ni muhimu kutenganisha kilichothibitishwa na tafsiri ya kisiasa. Mlolongo wa matukio 4 Julai 2026: Nchimbi alimtembelea Jaji...
  12. O

    Asasi za kiraia -SADC zaomba SADC pannel of elders kufanya ziara na kukutana na wadau nchini Tanzania katika juhudi za kukwamua mkwamo wa kisiasa

    Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
  13. K

    Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

    Wadau bila shaka mko poa, swali langu yule waziri mkuu fake aliyetokana na uongozi wa kuua watu na umwagaji damu aliyekuwa anafanya ziara uchwara zisizo na matunda yuko wapi?
  14. Roving Journalist

    Rais Museveni wa Uganda Awasili Nchini Tanzania kwa Ziara Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Museveni pamoja na ujumbe wake amepokelewa katika Uwanja...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  16. The Burning Spear

    Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

    Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
  17. H

    Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026. Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
  18. Carlos The Jackal

    Tetesi: Katika kutafuta Uhalali, FARAO kahongwa 1.8B TZS kufanya Ziara, ili kuhalalisha Umalikia

    Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
  19. H

    Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri

    Karibu Tanzania Mhe. Abdel Fattah El - Sisi, Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Ziara ya Kitaifa 18 Julai, 2026.
  20. H

    NI ZAMU YA KEREGE: Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    NI ZAMU YA KEREGE Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo ▪️CPA. Subira Khamis Mgalu Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo 🕰️03:00 - 09:00 Alasiri 📆 Jumat
Back
Top Bottom