zawadi

  1. M

    Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

  2. M

    Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

    Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji. Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
  3. Victor Mlaki

    Umekuja na zawadi ya kipekee Duniani itoe acha kufuata mtiririko; Hauwezi kumfurahisha kila mtu

    Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe. Zawadi uliyokuja nayo ni...
  4. Idugunde

    Nacheka ninapofuatilia ziara za Mwigulu Nchemba (PM), suala la mbuzi wa zawadi kupotea nalo litampa kick?

    Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika. Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
  5. Financial Analyst

    Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  6. MakinikiA

    Nilitegemea huyu kijana ataitwa bungeni kupewa zawadi, ila wachezaji wa mpira wanapishana huko bungeni

    Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
  7. fimboyaukwaju

    Naomba nikupe zawadi

    Dada mmoja,nilimsaidia shida yake kubwa sana,ambayo hata hapa natetemeka kuiweka,ndipo aliponitizama usoni na kuniambia,naomba nikupe zawadi Nilimtizama usoni,nikamjibu asante. Nikasimama nikaondoka.Hiyo ni miaka 30 iliyopita.Leo nikiwa rockcity nimepumzika baada ya kufanya manunuzi,nasubiri...
  8. Infropreneur

    Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya "Uhai" Hakuzuii kifo. Ushukuru, Usishukuru, kufa kupo palepale

    Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai! Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai! Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti..... "Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu" "Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"...
  9. Mad Max

    Zawadi Tatu (3) za Muhimu kumpatia Mama aliyetoka kujifungua!

    Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana. 1. Nursing Pillow: Huu ni mto wa kunyonyeshea, anaanza kuutumia tokea day 1, aisee utamsaidia sana. 2. Kagodoro kenye neti yake, haina hajanya maelezo...
  10. JaxenDL

    Iko wapi zawadi kutoka mwezini tulipewa na rais Richard Nixon

    Baada ya misheni ya kwanza ya Apollo 11 kufanikiwa, Rais Richard Nixon alituma zawadi kwa mataifa 135 duniani, ikiwemo Tanzania. Zawadi hii ilijumuisha: Chembe nne ndogo za mchanga wa mwezi (zenye ukubwa wa punje za mchele) zilizowekwa ndani ya tufe la plastiki, Bendera ndogo ya Tanzania ambayo...
  11. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  12. M

    Kwenu Wanaume, Mwanamke akikuletea Zawadi jua ni mtego, atachukua kwako mara 2 yake

    Naam, hawa viumbe acha tu, Waliosema ishini nao kwa akili hawakukurupuka, haikumaanisha kuwa hawana akili bali upeo wao ni mkubwa sana na usipokuwaa na akili za kudeal nao, rafiki yangu umeisha. Sasa basi Mwanamke akikuletea zawadi wewe Mwanaume iwe ya sikukuu au yoyote ile, iwe fedha au zawadi...
  13. Sifi Leo

    Dr faza Kitima, hamtamki Dr Samia na Dr Nchemba kama Dr je WAJUA kwa Nini? Elimu ya ZAWADI Haina mvuto

    Nina jua madhara ya andiko kama langu maana aliyehoji elimu ya Magufuli alitekwa na KUPOTEZwa mpaka Leo Sina amani ya kusema Ben Saanane kamwe Inaumiza kwa elimu za kibongo zilivyongumu Kuona mtu anapewa updh una UMMA sana Mimi niliwai Kuoji hivi mwigulu na Dr Jafo wakiwa mawaziri waliwezaje...
  14. Q

    Ni kosa kisheria kumhonga au kumshawishi shahidi kwa zawadi ili atoe ushahidi

    Kitendo cha CCM kutangaza kuwa kitawalipa watakaokwenda kutoa ushahidi kwenye tume ya Chande hiyo ni rushwa ya wazi, na kumshawishi shahidi kwa njia yeyote bila ridhaa yake ni sawa na kumlazimisa. Haikubaliki iwe mahakamani au kwenye tume ni kosa kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Takukuru...
  15. mirindimo

    CCM na tume kutoa zawadi kwa watakaoshiriki kutoa ushahidi, rudisheni na maisha ya wapendwa wao basi

    Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao. Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
  16. B

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
  17. marcoveratti

    Waziri wa Uingereza ampa Rais wa China mpira wa goli la CUNHA na DORGU kama zawadi

    Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal na Man United Lakini Kipekee akamzawadia Mipira ambayo ilitumika kupatikana kwa bao la Cunha na...
  18. Roving Journalist

    TAKUKURU yakabidhi mashine mbili za watoto waliozaliwa kabla ya muda kwa Hospitali ya Tumbi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
  19. Roving Journalist

    Zanzibar: Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole Wapatiwa zawadi za motisha kwa kufanya vizuri Michepuoni

    Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole. Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
Back
Top Bottom