zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Kwanini inachukua muda mrefu kutoka oral hadi placement? Nadhani watu wapewe kwanza matokeo ya oral kwenye akaunti zao halafu wasubiri PDF

    Kwanini inachukua Muda mrefu kutoka oral Hadi placement? Nadhani Kwanza watu wapewe matokeo ya oral kwenye akaunt zao alafu wasubir PDF.
  2. Kuna siri gani kwa watu kufunga biashara zao siku ya Jumanne?

    Salaam Wakuu, Ifikapo Jumanne kwa Dar es salaam imekuwa ni siku ya shida kupata huduma mbalimbali katika maeneo ya biashara. Maeneo kama Saloon, Baa na maduka ya bidhaa mbalimbali yanafungwa katika siku hii. Je, kuna siri au sababu yoyote kwa jambo hili? Anayefahamu naomba kuelimishwa.
  3. M

    Pamoja na Kipigo Kitakatifu cha Tunisia nauliza Utambulisho wa Jezi za Yanga SC haukuhusisha na Bukta zao?

    Rejea kuangalia Jezi za Yanga SC za Leo ilizotumia Kucheza na US Monastir ya nchini Tunisia utagundua kuwa Kilichotambulishwa ni Jezi za Juu ( Shati ) tu za Mdhamini Haier ila Bukta zilizotumika ni zile zile za Siku zote zilizotambulishwa mwanzo wa Msimu. Huu ni Uhuni ambao kamwe haupaswi...
  4. M

    SBS nao wamekuja na Eneryg drinks zao kabambe. Walevi wa Energy kazi mnayo

    Energy kwenye chupa ya soda safi kabisa, inaitwa SUPA KOMANDO, 300Mls bei sh 5,00 /= halafu ni tamu ajabu. Wanywa energy poleni kwa huo moto mnao pelekewa.
  5. Hawa wanaohoji hoja kipindi hiki, wangelisimamia hoja zao katika awamu ya tano, ningeliwaelewa

    Kuanzisha mradi ni jambo lingine na kuusimamia ukamilike ni jambo lingine! Nastaajabishwa sana na wale wote ambao hawauoni upiganaji wa waziri wetu wa fedha hasa katika dhamira yake ya kuhakikisha anatumia kila senti katika kumaliza miradi iliyoachwa ambayo mingi ilikuwa chini ya asilimia 15...
  6. Zao la karafuu soko lake likoje?

    Wakuu habari zenu Samahanini poleni na kazi naomba mnijulishe kuhusu soko la zao la karafuu Soko lake la uhakika ni wapi na huwa wanatengenezea Nini in common πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ karibuni
  7. Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini... Tupia na wako...
  8. Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  9. Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
  10. Walionyang'anywa mali na Hayati Magufuli waomba kurudishwa mali zao

    My Take Nawaambieni ukweli mchungu. Katika serikali zilizojaa uozo serikali ya Magufuli ni nambari wani. Mambo mengi sana ya hovyo yalifanyika chini ya uchochoro wa uzalendo. Mzalendo na waliokuwa chini yake wamechakaza sana mali za umma na watu binafsi
  11. K

    Rais Samia: Tuwasaidie wananchi kupata haki zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika kuhakikisha wanapata haki zao kwa wakati ametoa wito wa mapitio ya sheria ili kupunguza michakato...
  12. Waovu husutwa na dhamiri zao. Wimbo huu ulipigwa marufuku na UVCCM. Je, uliwaudhi nini?

    BOMOA TUTAJENGA KESHO WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tujajenga kesho imaa x2 JENIFA NDESILE-Imaao enyi watoto wazuri wote, njoni tucheze leo bomoa WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tutajenga kesho imaaa ASSOSSA- O betu bayai yoyoyo bomoa WOTE- Bomoae...
  13. C

    Hivi kwa nini polisi wanatutesa Sana sisi ndugu zao (raia)

    Habari za mchana ndugu zangu, Hawa polisi mbona wanatunyanyasa na hawakemewi na serikali. Juzi pale mataa ya ubungo walimkamata jamaa kwa kupaki bajaji sehemu isiyoruhusiwa, kwa kuwa walikuwa wamevaa kiraia jamaa aliwaomba kitambulisho maana walitaka wampeleke kituoni. Cha ajabu polisi mmoja...
  14. Vicoba vitamaliza wake zetu

    Habari za Jumapili, Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa na hamu ya mapenzi kwa kuwa na stress za kutosha kutokana na madeni ya vikoba, wengine hunyang'anywa...
  15. B

    Serikali ya CCM na mwendo wa kula kwa urefu wa kamba zao

    Wananchi tunalalamika na mzigo wa kodi usio wa haki. Wanaanza kudai kodi ya pango day 1 umepangisha baada ya safari ndefu Isiyowahusu wao ya ujenzi wa nyumba. https://www.jamiiforums.com/threads/wizi-wa-tra-kupitia-kodi-ya-pango.2058986/ Wao Kodi hawalipi, ila sisi. Kulikoni bus hili la...
  16. M

    Ukoloni unavyozidi kuwaangamiza Waafrika kwenye nchi zao

    Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu. Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba kama miaka ya 1500 wazungu waliizunguka dunia kutafuta fursa, sisi ngozi nyeusi hasa watanzania...
  17. Kwanini Watangazaji wa Redioni wanatumia nguvu kubwa mno kutushawishi tucheze Bahati Nasibu zao?

    Mtangazaji wa Bahati Nasibu ya EFM ( Mshindo Milionea ) utamsikia..... Fanya upesi ucheze Mshindo Milionea kwa kuweka tu Shilingi Elfu Moja yako ushinde Shilingi Milioni Moja ili Kesho Baba mwenye Nyumba wako akakufukuza kwa Kukudai Kodi yake na Ukaibika Mtaani. Mtangazaji wa Bahati ya Clouds...
  18. R

    Wanaomchukia Tundu Lissu wanaumiza nafsi zao bure

    Kiukweli hili jambo linashangaza sana. Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu. Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa...
  19. Kwanini mitume na manabii huishiwa upako baada ya muda? Je, hizi pako zao ni za kweli au za mchongo?

    Jambo wadau? Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za hali ya juu sana lakini baada ya muda zile pako huanza kufifia taratibu na kuisha kabisa. Nabaki...
  20. Wananchi wajengewe uwezo wa kutambua changamoto zao na wajue kuwa ni wajibu wao kudai haki

    Pemba, ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha jamii inakuwa na uwezo wa kutambua umuhimu wa kudai upatikanaji wa haki zao za msingi, kamati za wananchi kutoka shehia za Wilaya za Micheweni, Wete, Mkoani na Chake Chake Pemba zimeshauriwa kuendelea kuwashirikisha wananchi kujadili changamoto zinazowakabili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…