zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania na Angola Kukubaliana Kuunganisha Reli Zao, Kufungua Njia ya Usafirishaji Kati ya Bahari ya Atlantiki na Hindi

    Tanzania na Angola zimekubaliana kuunganisha mitandao yao mikubwa ya reli ili kutengeneza njia ya usafirishaji inayovuka bara la Afrika na kuunganisha Bahari ya Atlantiki na Bahari ya Hindi. Makubaliano hayo yametangazwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na Rais wa Angola...
  2. PostGE2025 Napenda kuwapa pole Familia na ndugu waliowapoteza ndugu zao siku kama ya Leo 29/10/2025 RIP the all

    Napenda kuwapa pole Familia na ndugu waliowapoteza ndugu zao siku kama ya Leo 29/10/2025 RIP the all
  3. Samsung Inatuhumiwa Kupeleleza(spying ) Watumiaji wa Smart TV na Kushiriki Data Zao na Washirika(partners) Zaidi ya 400

    Kwa Ufupi Ni Kwamba: Mtaalamu wa reverse engineering ambaye anajulikana kama Log4j anadai kuwa TV za Samsung za mwaka 2025 zinakusanya taarifa za sauti (audio telemetry) kupitia vipaza sauti vilivyojengwa ndani (built-in microphones) na vifaa vilivyounganishwa nazo (connected devices.) Matokeo...
  4. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  5. M

    Siri ya mtungi: watalii wenye Pixel na iphone original, Camera zao zinatoa picha kali sana kuzidi simu zetu tunazonunua maduka ya refurbished / used,

    Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua brand kubwa hazifanani na wanazotumia watalii, kwetu zimejaa Used na Refurbished. na hata wale wanaochana mabox wakidhani ni mpya Brand New, huwa ni simu used au refurbished zimewekwa kwenye mabox feki. simu...
  6. Kwanini watu wajinga wร jinga hutumia Fedha na Mali zao kujibu Hoja zinazoelekezwa dhidi yao?

    Unakua mjinga mmoja ni Kiongozi, anakosolewa kwa nafasi ya Uongozi wake. Au ni mjinga huyu ni Maarufu ,Msaniii, Kiongozi ,ni MwanaCCM , Mfanyabiashara . Inapotokea amekosolewa au kuambiwa ukweli juu ya jambo Fulani , huyu mjinga atafanya mambo yafuatayo Ama aandike au arekodi video...
  7. Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena๐Ÿ’”

    Wasalaam, Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka. Wakati mwingine...
  8. ๐…๐ž๐ฆ๐š๐ญ๐š: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    ๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ๐” ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐–๐€ ๐’๐€๐…๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐‚๐€๐๐€๐ƒ๐€ ๐–๐€๐๐€๐Ž ๐ƒ๐€๐ˆ ๐…๐„๐ƒ๐‡๐€ ๐™๐€๐Ž ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ ๐œ๐จ๐ง๐Ÿ๐ž๐ซ๐ž๐ง๐œ๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐ฐ๐š ๐’๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ฆ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐ข๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข ๐Œ๐š๐๐ข๐ง๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐–๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ซ๐š ๐๐ข๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐ฎ๐ญ๐ž๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐ฐ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ ๐จ ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ...
  9. K

    Vijana wa CCM akili zao duni

    Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
  10. Q

    Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume. Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
  11. Dhana ya wazee wetu wa zamani kubadili majina ya wake zao kufuata koo zao mara tu wanapowaoa kwanini sasa imekuwa ngumu?

    Habari, Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo, Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake kufuata majina ya koo yangu ni ujinga, Hoja yake imenikwaza kwasababu binafsi nimeona ni kama...
  12. Fumbo la Imani, DNA ya Kiungu, na ndoto ya dunia moja mababu wa Yesu na tabia zao

    FUMBO LA IMANI, DNA YA KIUNGU, NA NDOTO YA DUNIA MOJA Uchambuzi wa Kifalsafa Juu ya Paradox za Kidini na Usalama wa Ubinadamu UTANGULIZI: Mshtuko wa Kihistoria Unapoingia ndani kabisa ya uchunguzi wa maandiko ya kale, unakutana na jambo la kushangaza sana linaloshtua akili ya kawaida. Wakati...
  13. B

    Uzoefu wangu kwenye kilimo cha Mahindi 2025_2026. Hili zao libaki kuwa zao la Chakula tuz kwenye biashara haifai

    Mtu akitusua vipesa vyake kama vya kina Wicknell anakuja kutupigia makelele oooh Mimi Mkulima, Niko Manyara namlima kashamba ya Mahindi. Basi mwaka Jana nikajichanganya nikiwa Bagamoyo huku Karibu na Tanga wanapata........ Nikalima mahindi, nimechanganya na Elimu yangu na uzoefu kutokankwa...
  14. Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  15. Baadhi ya roho huja duniani ili tu kufunga kurasa ambazo familia zao waliziacha wazi

    Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation... 1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani. Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
  16. Polisi na wanajeshi siku hizi hata kuvaa nguo zao wanaona kama wanazaraulika.

    Miaka ya nyuma ukiwakuta kwenye uniform zao unapata msisimuko sana. Ila wao wamekuwa na aibu tokea October 29. Wengine mpaka wamefikia kuto jionesha kazi zao.
  17. R

    KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  18. D

    KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  19. Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

    Tumeona kwa mbowe na CHADEMA. Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali. Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz. Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
  20. Wazazi/walezi wafundisheni watoto kuwa na kiasi kabla tamaa zao hazijawameza.

    Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako. Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio mwanzo wa usaliti, dhuluma, kuminya haki ya mwingine n.k. Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ