zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee

    Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama Umri...
  2. T

    TRA Butu, watu wananunua magari ya zaid 2B bila kutoa source ya fedha zao wala kulipa kodi, kazi yao kubwa imebaki kupambana na mawinga

    TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa kodi wala kuulizwa vyanzo vyao vya fedha. Serikali inapoteza mapato, huku TRA ikipambana na mawinga...
  3. R

    Haya ni manyangau, hayana hata aibu/haya/soni. Yamesha jilimbikizia mali Dubai likitokea la kutokea yanakimbilia huko na familia zao. What next?

    Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha. Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki. Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
  4. D

    Sumu zinazotumiwa na majasusi kumaliza adui zao kwa msaada wa grok

    Sumu zinazotumiwa na majasusi kuua mtu, hata akiwa kwenye msongamano wa watu, kwa kawaida huwa za hali ya juu, za haraka, na ngumu kugundulika. Baadhi ya sumu zilizotajwa katika visa vya kihistoria na vya sasa ni pamoja na:1. Novichok: Hii ni kemikali ya kulemaza neva iliyotengenezwa na Soviet...
  5. Wana haki kuzuia maoni kwa akaunti zao ambazo zinashiriki na CCM

    Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia @nicholasmari said: na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na...
  6. Wameshindwa kulinda mgombea mbele ya polisi watano wataweza kulinda kura mbele ya jeshi? Wamepewa maneno wakagonga tano wakaondoka zao

    Haya matapeli banah. Yameenda mbele ya geti la tume wakakutana na polisi hata nyota moja hana. Huyu polisi akaanza kuwaambia sijui mshenga sijui barua. Mara si mnaongea tu yanaisha? Wakaitika ndiyo mzee wakagonga tano na huyo polisi wakaondoka zao. Ila mgombea wao ndiyo kakatwa hivyo. Sasa...
  7. Askofu Gwajima: Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida

    Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  8. Nyerere: Tunapoongea kuhusu Tanzania na uhuru wake

    Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...
  9. TARI nchi nzima, namba zao hazipatikani

    Ni kwa zaidi ya miezi sita sasa namba za huduma kwa wateja za TARI za kanda zote hazipatikani. Pili website ya TARI kuto-update uwepo wa mbegu mpya unaweza ukakuta mbegu mpya kwenye PDF ila kwenye website haja update ndani ya mwaka sasa Pia Tantrade walikuwa wanaweka bei za bidhaa kama...
  10. JKT WANATAKA HELA ZAO HUKO NA WACHEZAJI MLIOWAAHIDI..HAHAHAA WATANI BANA

    WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI KIDUMU CHAMA CHETU
  11. Bei ya zao la mbaazi mwaka 2025

    Mnada wa kwanza umesomwa na bei kama inavyoonekana
  12. Yanga wana utoto sana kwenye jezi zao

    Jezi mpya ya ugenini ya Yanga iliyozinduliwa leo imeandikwa “Walisepa 08.03.2025” Huu ni utoto wa hali ya juu. Wameweka makusudi ili kuwavutia mashabiki wao wanunue jezi hizo ambazo kimsingi sio jezi nzuri.
  13. H

    Kama wasio wasomi hawafai kuwa viongozi basi kura zao pia hazifai wajipigie kura wasomi!!!

    Huo ndiyo uhalisia hakuna haja ya wasomi kuomba kura kwa wasiowasomi wakajichague wasomi wenyewe basi!!
  14. Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  15. A

    DOKEZO Maafisa Elimu wawe wanapitia Shule zao kukagua Chakula wanafunzi Mashuleni

    Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka. Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule kiasi kwamba mahindi husagwa yakiwa na dawa na kupelekea kwa shule wanazokula dona au mahindi...
  16. Ni wana JF gani kutokana na harakati zao humu wanatiki vielelezo vifuatavyo?

    1: PLAY BOY 2: MTU WA SYSTEM 3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL) 4: MPENDA BATA 5: DADA WA MJINI 6: KAUKA NIKUVAE 7: NGUMI NJE NJE 8: PESA MAKARATASI 9: MZEE/MAMAA WA CHAI 10: CONFUSED
  17. Hivi Watanzania na Wakenya ni ndugu? Mbona ugomvi na mambo zao ni kama wakaka au wadada wanagomabana

    Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya hiki mwingine anaiga ili aonekane kamzidi. Hatari sana!
  18. Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  19. Angalia watoto wa Gaza wanavyokufa kwa njaa mikononi mwa mama zao mbele ya macho ya wenzao huku dunia ikiwa haitaki kuangalia.

  20. Utanufaika na watoto uliozaa nje iwapo mama zao watakuwa walishafariki

    Watoto wa nje ya ndoa au wa michepuko, hawana tija katika maendeleo yako hasa pale utakapowahitaji; wao wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa hujikita kwa mama zao. Wakiwa wadogo wao na mama zao watakuhitaji katika kugharamia malezi n.k ila wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa, sahau kuambiwa asante...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…