Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
Anonymous
Thread
changamoto
electrical
electrical installation
ewura
hizi
leseni
mfumo
zao
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
Ningekuwa raisi wa Taifa lolote ningeanza kuwathamini Wananchi na kulinda afya zao kwasababu wakiwa wazima wataingizia Serikali Trillions of Revenue
Utajiri wa Serikali unapatikana kwa uwepo wa Wananchi hai/rasilimali watuSerikali yeyote duniani inatakiwa kutunza afya ya Wananchi wake ili ivune...
Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe?
Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
WITO KWA UONGOZI WA SAMSUNG TANZANIA: BORESHENI HUDUMA KWA WATEJA!
Nimekutana mara kadhaa na changamoto kubwa katika maduka rasmi ya Samsung, Dodoma na Dar es Salaam. Unapofika dukani ukiwa na tatizo la simu ya Samsung, ambayo ni bidhaa mnazozalisha na kuuza wenyewe, unatarajia kupata msaada wa...
Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
Ukiona mchina kaleta kampuni yake hapa afrika tambua yupo kwa ajili ya test.
Nimekumbuka kampuni kama Tecno ilivyokuja afrika na sasa inapeleka products zake ulaya.Mbona ijapeleka mwanzoni.
Leo kulikuwa na uzinduzi TVS hizi pikipiki ulaya ila cha kushangaza kajaza test zile pikipiki za mama samia.
Nimekutana na makabila kadhaa ila katika haya nimekutana na watu zaidi ya saba na tabia hizi niliweza kuziona zikijirudia rudia.
Wachaga - ni wachapakazi, wanajituma, lakini muda mwingi wana plan ya kutafuta tobo la kupiga hela. Kwenye maelewano ya pesa hakikisha mnaenda kwa mikataba, mkienda...
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao.
Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
Anonymous (f160)
Thread
changamoto
daruso
kuomba
kuomba rushwa
loan
loan officer
mikopo
rushwa
serikali
udsm
viongozi
wanafunzi
waziri
wizara
zao
Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria.
Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali.
Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo.
Kwa mfano, mtumishi mwenye...
Anonymous
Thread
afya
bila
halimashauri
idara
idara ya afya
katibu
njombe
sana
uhamisho
wafanyakazi
watumishi
zao
Marais wajao wa kiislam wenye nafasi kubwa ya kuteuliwa ndani ya CCM iwe Tanzania kiujumla au Zanzibar wametoka kwenye familia za viongozi wakubwa
Baadhi ya majimbo ni wanafamilia tu hugombea, kama umetoka hayo majimbo tafuta nafasi nyingine
Wanafamilia hupewa vyeo vikubwa
Pamoja na kazi kubwa inayofanywa na wanaharakati wa Tanzania katika kupigania haki, usawa na demokrasia, kuna mapungufu makubwa wanayoyafanya ambayo yanasaliti harakati zao bila wenyewe kujua.
Niliwahi kuleta uzi mmoja kumhusu Mange Kimambi kwamba kuna taarifa ambazo anatoa ambazo badala ya...
Na sisi kama wabunge ambao tumepewa mamlaka ya kusimamia pesa za umma. Ni vyema tuyaseme ili wananchiwajue kwamba tuliona tukasema na tunaomba utekelezaji ufanike.
Tutayasema hapa ijapokuwa nilikuwa napitiahistoria ya ripoti za maCAG waliopita. Hoja zaidi ya 24000 zilizoletwa bungeni...
Katika historia ya tasnia ya mitindo duniani, wapo wabunifu maarufu ambao walikuwa au ni mashoga (wapenzi wa jinsia moja), na wengine wamekuwa wakihusishwa na tasnia hiyo kutokana na uhusiano wa kitamaduni kati ya mitindo na jamii hiyo.
Wabunifu Maarufu wa Kimataifa
Gianni Versace – Mtindo...
WANAWAKE MASHETANI NA KATILI HAWAAMBII WATOTO KUHUSU BABA ZAO HALISI. WANAWAFICHA UKWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Umefinya ufuska wako huko ukabeba mimba ya mwanaume asiye wako. Yaani asiye mumeo.
Kwanza nani aliyekuambia umbebee mimba mtu ambaye hajakuoa? Ni kwamba hujitambui...
Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95.
Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako".
Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja .
Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
Hili swala la Benki kukata hela kwenye akaunti ya mtu bila makubaliano si sawa. Wanatakiwa watoe taarifa kwamba kuna hela hii tutakata mwezi ujao.
Mtu unaweka pesa zako benki ukijua ni sehemu salama ukipatwa na shida ukaenda huikuti. Si bora mtu angeiweka chini ya godoro tu?
Nashauri BoT...
Baada ya kumaliza ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki October 29, kanisa sasa liguse familiar za waliopoteza maisha na majeruhi
Vijana waliouawa waliacha wake na watoto na kanisa lina shule zake ingekua vizuri kanisa likaanza kuwatafuta watoto wa waadhirika na kuwapa elimu bure kwenye...