zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ninini maoni yako kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar?

    Je, unadhani zipi zitakuwa Faida pamoja na Changamoto za kuanzishwa kwa shirika la ndege la Zanzibar? Picha kwa hisani ya Akili Mnemba
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  3. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Pendekezo la Nyerere Kuhusu Muungano wa Serikali Moja Unaoheshimu Uhuru wa “Kanda Maalum ya Kisiasa ya Zanzibar”: CCM Wanangoja Nini?

    Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026 KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964. Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO ZBS Zanzibar wekeni mwongozo au viwango vya wazi vya malipo kwa mzigo katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume

    Malalamiko yangu ni kuhusu kampuni ya ZBS Zanzibar, hasa namna wanavyotoza gharama za mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume, Terminal 1. Kwa mfano, bandarini, ZBS hutoza Shilingi 200,000 kwa kontena la futi 20, huku gharama ya gari kulipia ZBS ikiwa Shilingi 325,000. Kwa kontena...
  5. JamiiForums Tanzania Nategemea pia majengo ya zama.ni ya Zanzibar nayo yavunjwe kama kariakoo.

    Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
  6. JamiiForums Tanzania Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

    Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1. Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar miradi inaenda kasi sana huku Tanganyika ni hela hakuna ama?

    Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao. Mifano hai Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TBT: Karume alimwambia Nyerere yupo Tayari kuwa nchi moja na Tanganyika, Nyerere alikataa !! Nyerere ndie katufikisha hapa tulipo

    Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe. Tanganyika ilikuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hatukurupuki tukisema Wakristo Tanzania ni 70%+. Mikoa yenye Waislamu wengi ongeza Zanzibar iwe kama mkoa moja wa bara kiukubwa haifiki 25%.

    Ni kwa lengo la kielimu tu na kujenga awareness, si kuchochea mgawanyiko wa kidini. Tunaweka mambo sawa tu kwasababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana mitaani Katika mikoa 26 ya bara ongezea na ukiifanya Zanzibar iwe mkoa kwa size yake kuendana na mikoa ya bara, haya ndio maeneo yenye idadi...
  11. JamiiForums Tanzania Naendelea na Kampeni ya Kumdai Humphrey Polepole Hapa Zanzibar

    Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
  12. JamiiForums Tanzania Fursa ya ufugaji wa Nguruwe Kizimkazi Zanzibar

    Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika. Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu rahisi kuopoa manzi kama Zanzibar

    Amakweli tembea uone. Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu. Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo pc 5

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 tu. Bei ya Khanga: sh 17,000/=. Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565. @radhiyastore @prathrealestate
  15. JamiiForums Tanzania Simba Yavamia Zanzibar Kumng'oa Feitoto Azam FC, Yanga Yatajwa Kumrudisha Kaze

    Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikibainika kuwa Simba wameanza maandalizi kabambe ya usajili wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Miti ya mitiki (teak trees) 100 inauzwa. Zanzibar

    Nauza takriban miti 100 ya Mitiki (Teak) iliyopo Selem, Zanzibar. Miti imekua vizuri na ina ukubwa unaofaa kwa matumizi ya mbao, samani, ujenzi na biashara ya mbao. 📍 Eneo: Selem, Zanzibar 🌳 Idadi: Takriban miti 100 📏 Mzunguko wa shina: Nchi 63 na kuendelea 📐 Urefu: Mita 8 na kuendelea Miti...
  17. JamiiForums Tanzania Bilionea na Infulencer mkubwa, Zeus kaja Zanzibar Media kimya, sijui tukoje

    Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya. Baadae...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Narudia tena kusema, Dr Ally Hussein Mwinyi anavunja record ya Maendeleo Zanzibar

    Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo. Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021. Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
  19. JamiiForums Tanzania Tulipe kodi kwa maendeleo ya Zanzibar

    TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya, Msajili wa Hazina Zanzibar Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za kugharamia mipango na huduma zinazohitajika na wananchi. Miongoni mwa nyenzo muhimu zaidi katika...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maridhiano Zanzibar yatalainishwa na donge nono toka Tanganyika!!

    Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa wakipozwa na bakshishi na marupurupu kedekede toka Tanganyika. Katika muktadha wa sasa ambapo rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…