Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana.
Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
changamoto
changamoto za muungano
jmt
kiongozi
mapinduzi
mapinduzi ya zanzibar
mkuu
mkuu wa
muundo
muungano
rais
rais wa jmt
sahihi
serikali
serikali ya mapinduzi
tanganyika
waziri
waziri mkuu
zanzibar
Profesa Palamagamba Kabudi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) nchini Tanzania, tangu 02 April 2026
KIhistoria, Tanzania ni Taifa linalojumuisha dola mbili za Tanganyika na Zanzibar, tangu mwaka 1964.
Jumla ya eneo la Tanzania ni kilomita za mraba...
Malalamiko yangu ni kuhusu kampuni ya ZBS Zanzibar, hasa namna wanavyotoza gharama za mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume, Terminal 1.
Kwa mfano, bandarini, ZBS hutoza Shilingi 200,000 kwa kontena la futi 20, huku gharama ya gari kulipia ZBS ikiwa Shilingi 325,000. Kwa kontena...
Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa.
Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu.
Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.
Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...
Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli
Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao.
Mifano hai
Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe.
Tanganyika ilikuwa...
Ni kwa lengo la kielimu tu na kujenga awareness, si kuchochea mgawanyiko wa kidini.
Tunaweka mambo sawa tu kwasababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana mitaani
Katika mikoa 26 ya bara ongezea na ukiifanya Zanzibar iwe mkoa kwa size yake kuendana na mikoa ya bara, haya ndio maeneo yenye idadi...
Tumesha chapisha vipeperushi vyakutosha, lengo ni kuwafikia watanganyika wote waishio hapa. Tutashiriki maandamano ya amani ya kumdai Humphrey Polepole siku ya uzinduzi wa AFCON.
Kwa wasioifahamu zanzibar maeneo ya Kizimkazi ndio mashambani kwenyewe. Nimebaini kuna uhaba wa nguruwe na makafiri ni wengi hapa Zanzibar, pia kuna maostadhi wenzangu ambao wanapenda kutia sunnah hivyo soko ni la uhakika.
Kama kijana unatafuta dili usiseme sijakwambia. Njoo kizimkazi,tafuta ka...
Amakweli tembea uone.
Katika harakati zangu za kuvizia bandari zenu, nimekuja huku visiwani. Awali nilikuwa nahofia sana majuba nikajua ndani yake wapo mabikira safi au wake za watu.
Baada ya siku mbili tatu nikabonga na mwenyeji fulani akaniambia wataka mwanamke? Nikasema naaam, akasema hilo...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 tu.
Bei ya Khanga: sh 17,000/=.
Karibu kuchagua na kuweka oda yako, tupigie 0784 829565.
@radhiyastore @prathrealestate
Uchambuzi wa kina wa soka la Bongo uliotolewa na wachambuzi wa michezo, Hans Raphael na Juma kupitia kipindi cha Crown Plus, umeweka wazi mwenendo wa klabu za Simba SC na Young Africans (Yanga) kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikibainika kuwa Simba wameanza maandalizi kabambe ya usajili wa...
Nauza takriban miti 100 ya Mitiki (Teak) iliyopo Selem, Zanzibar. Miti imekua vizuri na ina ukubwa unaofaa kwa matumizi ya mbao, samani, ujenzi na biashara ya mbao.
📍 Eneo: Selem, Zanzibar
🌳 Idadi: Takriban miti 100
📏 Mzunguko wa shina: Nchi 63 na kuendelea
📐 Urefu: Mita 8 na kuendelea
Miti...
Sijui tunatakaga Nini tu, watu MAARUFU waja Zanzibar lakini huoni media kubwa kama clouds wasafi eatv wanapeleka presenters Kwa AJILI ya mahojiano nao, mfano alikuja cucurella mchezaji wa Chelsea akawa anazinguka tu forodhani hana inshu, don jazzy, wachezea filamu wakubwa kimya.
Baadae...
Mnamo mwezi Jan 2026 nilisema namna Mh Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Ally Mwinyi anvyokonga nyoyo za wazanzibar kwa kuwaletea maendeleo endelevu kisiwani humo.
Nilisema pia haya Mwaka mmoja bada ya kuchaguliwa Mwaka 2021.
Kwa mtu ambaye naifahamu Zanzibar kabla ya Uongozi...
TULIPE KODI KWA MAENDELEO YA ZANZIBAR
Na Waheed Muhammad Ibrahim Sanya,
Msajili wa Hazina Zanzibar
Maendeleo ya mtu, jamii na taifa hayawezi kutenganishwa na uwepo wa rasilimali za kutosha za kugharamia mipango na huduma zinazohitajika na wananchi. Miongoni mwa nyenzo muhimu zaidi katika...
Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa wakipozwa na bakshishi na marupurupu kedekede toka Tanganyika.
Katika muktadha wa sasa ambapo rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.