zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Moto unawaka kwenye kituo cha umeme cha Forodhani

    Moto unawaka katika kituo cha umeme Forodhani
  2. B

    JamiiForums Tanzania lattest Jobs in Zanzibar 2026

    Recent Job Openings in Zanzibar Browse the latest job openings in Zanzibar. Your next career move is just a click away. 1. Commis Chef — Tanzania, Zanzibar 2. Chef de Partie — Tanzania, Zanzibar 3. Receptionist — Tanzania, Zanzibar 4. Security Manager — Tanzania, Zanzibar 5. Sales Manager —...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Toyota Spacio yabeba watu 27, dereva akamatwa na polisi

    Video inayosambaa mitandaoni imeibua mshangao baada ya askari wa Polisi kuonekana akiwashusha abiria 27 waliokuwa wamepakiwa ndani ya gari aina ya Toyota Spacio namba Z 844 AAU, ambalo kwa kawaida lina uwezo wa kubeba abiria wasiozidi saba. Katika hali isiyo ya kawaida, idadi hiyo kubwa ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Kanisa Katoliki halikufanya misa maalum kukumbuka waliouawa Zanzibar mwaka 2001, wakati nchi ikiongozwa na Rais Mkatoliki Benjamin Mkapa?

    Wakuu, kuna mjadala mzito unaosambaa kwa kasi. kuna habari zinasambazwa Kanisa Katoliki halikutenga siku maalum ya Misa maalum kufuatia ghasia na mauaji ya Zanzibar ya mwaka 2001, tofauti na nguvu inayowekwa sasa kuelekea Oktoba 29. Kuna ukweli katika hili ? Update: Kanisa Katoliki lilitoa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Daktari wa China amsaidia mwanafunzi wa Zanzibar, kupona na kurejea shuleni

    Ashfaina Omari Ali, mwenye umri wa miaka tisa na nusu, aliingia katika Shule ya Msingi Sebleni kwenye kisiwa cha Unguja, Zanzibar, akiwa anajiamini upya. Kwa Ashfaina, kurejea shuleni ilikuwa zaidi ya kuanza kwa siku nyingine ya masomo. Ilikuwa ishara kwamba maisha yalikuwa yakirejea katika...
  8. JamiiForums Tanzania Video : Raia wa Kenya Ashangaa Mombasa Ilivyoachwa Nyuma kwenye Maendeleo na Zanzibar,Asema Watalii Wamekimbia Kenya Wanamiminika Zanzibar.

    My Take Rais Mwinyi angesikiliza ule upumbavu wa Wapinzani na kuacha kukodisha visiwa Kwa wawekezaji eti ataambiwa anauza Nchi Leo hii wasingepata maendeleo makubwa sekta ya I ya utalii. Ukweli ni kwamba sekta ya utalii Tanzania inabebwa na Zanzibar ndio inafuata Serengeti na Ngorongoro kiasi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa moja ndani ya bara upewe hadhi kama ya Zanzibar, wazanzibari ni wachache, ardhi ndogo kama wilaya lakini madaraka na keki wanayoipata ni kubwa

    Haya mambo mpaka lini hasa ? Zanzibar ni theluthi ya baadhi ya wilaya, inainga zaidi ya mara 350 ndani ya Bara, Watu wake ni asilimia 3 tu Lakini Madaraka wanayopewa ni makubwa sana, vyeo wanavyopewa ni vingi sana kuzidi uwiano wao ndani ya Tanzania, Rasilimali wanazomiliki ni nyingi sana...
  10. JamiiForums Tanzania Mwarabu asema Zanzibar ina kiwango kikubwa cha ushoga

  11. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar walishajifunza ni vigumu kupata Urais kwa mfumo wa kawaida, hofu ni mfumo unaowekwa kulinda mamlaka yao Tanganyika hata kwa vizazi vijavyo

    Kipindi cha Mwinyi, Nyerere alikuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa, hata akiwa nje ya madaraka. Mazingira ya sasa ni tofauti kabisa. Kipindi hiki, Makamu wa Rais katiba ilimpa mamlaka ya kuwa Rais. Wazanzibari wanafahamu kuwa kupata Rais wa Muungano kupitia Ccm kwa njia zilizozoeleka ni...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kieletronic wa ajira Zanzibar (zanajira)Tokea Jumatatu mpaka leo haufungukii jee wahusika hawalioni hili?

    Mfumo wa kieletronic wa ajira zanzibar (Zanajira)Kuanzia tarehe 12 mpaka leo haufunguki na wala hauruhusu mtu aingie ktk account yake jee wahusika hawalioni hili?
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la umeme limekuwa sugu lisilo na dawa Nungwi, Zanzibar kwa miaka kadhaa

    Hii shida ya umeme kukatika imekua ni ugonjwa ambao hauna tiba kwasababu ndani ya siku 3 umeme unakatika mara kwa mara mchana na ndani ya siku tatu. Kuna siku unakatika saa 12 jioni unarudishwa saa 5 au saa 6 sasa hili tatizo lina sababishwa na nini maana miaka inasonga na halifanyiwi kazi na...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi Zanzibar wagomea serikali kukodisha kisiwa kwa mwekezaji

    Wananchi wa Fumba, Zanzibar, wamemuomba Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha ACT - Wazalendo, Profesa Omar Fakih Hamad kuishawishi Serikali kuangalia upya mpango wa kukikodisha Kisiwa cha Kwale kwa mwekezaji, wakieleza kuwa eneo hilo ni tegemeo lao muhimu la kujipatia kipato...
  16. JamiiForums Tanzania Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

    Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣 Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊 Kitu kikapanda nden ge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa rais, hamasa kwa vijana, ndoto ya Zanzibar

    14.10.2026, Minas Gerais, Brazil Kuelekea mchezo wa robo fainali wa mashindano ya PQCUPBRASIL 2026 nchini Brazil leo, Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepiga simu na amewatakia kila la heri Zanzibar Spice Boys, huku akiwapa moyo na...
  18. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Zanzibar ni kiini macho tu?

    Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Zanzibar hakuna vivutio vya waarabu vya kuwauzia, why mnauza vivutio vya TANGANYIKA tu

    Nyie akina Kabudi, na kampuni yako. Kama siyo nyinyi, basi wanaonufaika na uhujumu wenu huu kuna siku mtajibu kwa watanganyika. Mnabariki kuuza kila kitu as long as mnanufaika! Time will tell!
  20. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa za Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…