zambia

Zambia (), officially the Republic of Zambia, is a landlocked country in Southern-Central Africa (although some sources consider it part of East Africa). Its neighbors are the Democratic Republic of the Congo to the north, Tanzania to the north-east, Malawi to the east, Mozambique to the southeast, Zimbabwe and Botswana to the south, Namibia to the southwest, and Angola to the west. The capital city is Lusaka, located in the south-central part of Zambia. The population is concentrated mainly around Lusaka in the south and the Copperbelt Province to the northwest, the core economic hubs of the country.
Originally inhabited by Khoisan peoples, the region was affected by the Bantu expansion of the thirteenth century. Following European explorers in the eighteenth century, the British colonised the region into the British protectorates of Barotziland-North-Western Rhodesia and North-Eastern Rhodesia towards the end of the nineteenth century. These were merged in 1911 to form Northern Rhodesia. For most of the colonial period, Zambia was governed by an administration appointed from London with the advice of the British South Africa Company.
On 24 October 1964, Zambia became independent of the United Kingdom and prime minister Kenneth Kaunda became the inaugural president. Kaunda's socialist United National Independence Party (UNIP) maintained power from 1964 until 1991. Kaunda played a key role in regional diplomacy, cooperating closely with the United States in search of solutions to conflicts in Rhodesia (Zimbabwe), Angola, and Namibia. From 1972 to 1991 Zambia was a one-party state with the UNIP as the sole legal political party under the motto "One Zambia, One Nation". Kaunda was succeeded by Frederick Chiluba of the social-democratic Movement for Multi-Party Democracy in 1991, beginning a period of social-economic growth and government decentralisation. Levy Mwanawasa, Chiluba's chosen successor, presided over Zambia from January 2002 until his death in August 2008, and is credited with campaigns to reduce corruption and increase the standard of living. After Mwanawasa's death, Rupiah Banda presided as Acting President before being elected President in 2008. Holding office for only three years, Banda stepped down after his defeat in the 2011 elections by Patriotic Front party leader Michael Sata. Sata died on 28 October 2014, making him the second Zambian president to die in office. Guy Scott served briefly as interim president until new elections were held on 20 January 2015, in which Edgar Lungu was elected as the sixth President.
In 2010, the World Bank named Zambia one of the world's fastest economically reformed countries. The Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) is headquartered in Lusaka.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Zambia kwa Uapisho wa Hichilema

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Mhe. Hakainde Hichilema, Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia tarehe 01 Septemba, 2026.
  2. Yesha

    JamiiForums Tanzania Mnangagwa Congratulates Hichilema on Second Term, Hails Zambia’s Democratic Stability

    President Emmerson Mnangagwa has congratulated Zambian President Hakainde Hichilema on his inauguration for a second term, describing Zambia as a beacon of democratic stability, peaceful governance and unity in Africa. Hichilema was sworn in on Tuesday at the National Heroes Stadium in Lusaka...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aelekea Zambia Kushuhudia Uapisho wa Hichilema

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Lusaka Zambia kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Zambia Mheshimiwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria Uapisho wa Hakainde Hichilema Nchini Zambia

    TAARIFA KWA UMMA RAIS SAMIA KUSHIRIKI SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS HICHILEMA WA ZAMBIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 01 Septemba, 2026, anaondoka nchini kuelekea Lusaka, Zambia kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zambia Yafunga Mahakama Zote Kuzuia Wapinzani Wasipeleke Shauri la Kupinga Ushindi wa Rais Hichilema

    Huko Zambia baada ya kutangazwa Kwa matokeo ya Urais yaliyompa Ushindi Rais wa Sasa bwana Hichilema na kulalamikiwa na upinzani Hadi kushutumu Tanzania, Serikali ililazimika kufunga mahakama zote Ili kuzuia Wapinzani Wasipeleke mashitaka ya kupinga Ushindi wa bwana Hichilema. My Take...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mahakama zafungwa ghafla siku ya mwisho ya aliyekuwa Mgombea Urais kuwasilisha pingamizi la matokeo ya Urais

    Nchini Zambia majengo yote ya Mahakama Kuu na Mahakama ya Katiba yamefungwa kwenye siku iliyokuwa ya mwisho kisheria kwa mgombea wa upinzani, Brian Mundubile, kuwasilisha pingamizi la matokeo ya uchaguzi wa urais. Nchini Zambia, maombi yote ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais lazima...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Zambia: Polisi wamuita kiongozi wa Upinzani, Brian Mundubile kuhojiwa kwa kuhatarisha usalama wa nchi

    Polisi nchini Zambia wamemtaka mgombea urais wa Chama cha National Reconciliation Party for Unity and Prosperity (NRPUP) katika Uchaguzi Mkuu wa 2026, Brian Mundubile, pamoja na mgombea mwenza wake Makebi Zulu, kujisalimisha kwa ajili ya mahojiano. Mkuu wa Polisi nchini Zambia, Graphel Musamba...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Wa Zamani Auwawa Kwa Risasi Zambia. Halafu Utasikia CHADEMA Wanasema Tanzania Hakuna Amani. Lini Mlisikia Waziri Akipigwa Risasi Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuwa na Maneno mengi sana Embu Soma hapa 👉 Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa operesheni ya pamoja ya Vyombo vya Usalama iliyofanyika katika Makazi ya...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anashindwa uchaguzi Zambia anaisingizia Tanzania, hii ni maajabu aise

    Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia? Halafu, hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na...
  12. Streetot

    JamiiForums Tanzania Zambia Election Victory Put Popular Nigerian Prophet Jeremiah Fufeyin in Spotlight as the Man of God Prophecy About Hichilema Winning Came To Pass

    Nigerian Prophet Jeremiah Omoto Fufeyin has once again attracted significant attention online after a prophecy attributed to him resurfaced following the re-election of Zambia’s President Hakainde Hichilema. According to the viral social media post, Prophet Fufeyin had earlier declared that...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 katika uchaguzi wa mwaka 2026

    Kumekuwepo Chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikiwemo Facebook na Instagram, linadai kuwa Zambia ilisajili wapiga kura milioni 14 na kwamba katika uchaguzi huo zaidi ya watu milioni 14 walipiga kura.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema ashinda urais Zambia. Wapinzani wabambikiwa kesi za uhaini

    Anaandika Malisa GJ Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa na Brian Mundubike wa NRPUP aliyepata kura 1,856,217 sawa na 38.6% ya kura zote zilizopigwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Unabii na Kulinda Demokrasia: Wito wa Maaskofu wa Zambia Kabla na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2026

    Muhtasari wa Kitendaji Makala hii inachambua wito wa kichungaji wa Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 13 Agosti 2026, ikilinganishwa na misingi inayosimamiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Wakati mazingira ya kijamii ya Tanzania...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Wakatoliki Zambia: Hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo

    Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) limeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13, 2026, likisema hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo. Katika taarifa yao ya kichungaji yenye kichwa “Peace sown by...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

    Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi na kupata muhula wa pili wa miaka mitano, baada ya kupata asilimia 61.4 ya kura dhidi ya asilimia 38 alizopata mpinzani wake mkuu, Brian Mundubile. Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemtangaza...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Africa na chaguzi bandia. Nani anayetupangia Mamruki kuongoza nchi Zetu?.... Kama CCM wametumwa Zambia Brian Mandubile hawezi kutangazwa mshindi kamwe

    Waafrica hawaijui ccm aisee. Hii sio TANU iliyowasaidia kupigania uhuru. Hili ni dudu baya. Sasa tume itakuwa imeshikiliwa Mateka, Vikosi kazi vimeandaliwa tayari kuanzisha vurugu ili kuruhusu wizi wa kura, Askari watapewa posho ambayo hawajawahi kuipata kisha bunduki na Amri za kuua wananchi...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania Rejects Zambia Election Interference Claims

    The Government of Tanzania is concerned with the false allegations made by the NRPUP Presidential Candidate in Zambia, Mr. Brian Mundubile, claiming that Tanzania sent individuals to Zambia with the intention of interfering with and disrupting the country's general elections held on 13th August...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tuhuma za Tanzania kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Zambia sio za kweli ZIPUUZWE

    Serikali ya Tanzania imekanusha tuhuma za kutuma raia wake kwenda Zambia kuingilia au kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika Agosti 13, 2026. Serikali imesema madai hayo hayana ukweli na imeanza kuyafuatilia kupitia njia za kidiplomasia. Tuhuma hizo zilitolewa na mgombea urais wa chama...
Back
Top Bottom