zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Kiungo wa zamani wa Yanga Tonnombe Mukoko atapeliwa nyumba na mwanamke wa kibongo

    Kiungo wa zamani wa Yanga kutoka Taifa la Congo Tonnombe Mukoko aliyekipiga Yanga kwa mafanikio makubwa atapeliwa nyumba na mkewe pisi Kali ambaye ni mbongo aitwae kwa Jina la Trish ambapo ndoa yao ilifungwa Congo. Akiongea na channel maarufu ya mambo ya umbea Mai Tv afunguka mengi Alisema...
  2. Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  3. Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  4. U

    BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  5. Zamani raha hiace Tsh. 3800

    tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
  6. Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume? Sikilizeni hizi hapa https://open.spotify.com/track/5OZFKa8fuMNnyHwBnJIHAO?si=MBE-c6prR1WyKwXG3Z861Q&utm_source=copy-link...
  7. Kwanini Mitume wa zamani ni Wayahudi, Wazungu na Muarabu mmoja tu?

  8. Hapo zamani za kale.........

    Hapo zamani za kale palikuwa na kijiji kimoja kizuri sanaa. Kijiji hicho kilikuwa na vitu vizuri kama dhahabu, gesi, maji safi na na mali nyingi msituni. Basi kiongozi mmoja mzalendo akapewa kazi ya kuongoza jahazi. Wakaenda vizuri kumbuka kabla ya hapo waliongozwa na watu kutoka katika...
  9. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad ana Mawasiliano na Mossad ya Israel!!

    HABARI MPYA: Mossad ilijaribu kumgeuza mmoja wa maadui wakubwa wa Israeli kuwa mali yake kubwa zaidi. Kulingana na New York Times, Israeli ilitumia miaka mingi kujaribu kumsajili Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad kama mali ya kijasusi, ikiwa na mpango wa kusaidia kuangusha utawala wa...
  10. Zamani: Hii cable ya kihindi ilitaka kuuwa mtu

    Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea. Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani na msumari wa nchi 6. (Misumari tulikuwa tunatumia kucheza mchezo unaitwa domeka) Mnachora jedwali...
  11. Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty... Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
  12. S

    Amesikika mtu akisema "tuliona wengi wa polisi wetu wana vitambi ikabidi tuwabadilishie uniform, zile za zamani zilionyesha sana vitambi vyao"

    Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi! Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao. Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
  13. Uzi wa Kumbukumbu: Wazee wa miaka ya 70, 80, na 90 tukutane hapa kushusha picha za vitu vyetu vya zamani na ku share story ya vitu hivi

    Habari za muda huu wana-JamiiForums, Kuna wakati unakaa na kutafakari jinsi maisha yalivyobadilika kwa kasi sana hasa kwa sisi tuliobahatika kuzaliwa na kukulia katika miaka ya 1970, 1980, na 1990. Utoto wetu ulikuwa wa kipekee na ulitengenezwa na vitu rahisi sana lakini vyenye thamani kubwa...
  14. Sababu za kwanini now days hauwezi kuokota pesa kama zamani

    Mifaano batiri, uwezi okota pesa Kwa miaka yetu hii, nasababu sa7 za kuerezea, mwaka 1760 BARTER: ilikuwa Biashara ya mabadilishano example unang'ombe lakini unahitaji mahindi mnakubaliana mnabadilishana, (2) mwaka 1860 GOLD: wakagundua dhahabu wakawa wanaieyusha Na kutengeneza mapambo mbali...
  15. Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi?

    Zamani msichana akiolewa alikuwa anaumwa wiki nzima. Anaamka anachechemea. Siku hizi kesho yake anaamkia kazini. Bado natafuta tatizo liko wapi…
  16. Maandamano ya Julai 7 hayajaruhusiwa, msidanganywe na video za zamani

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na usambazaji wa video mbalimbali mitandaoni za kuhadaa vijana ili waingie kwenye vurugu zinazopachikwa jina la maandamano ya Julai 7. Miongoni mwa Video hizo ni za matukio ya zamani ikiwemo ya maandamano ambayo yaliruhusiwa kisheria na kupewa ulinzi na...
  17. Kuna haja gani ya kwenda kusikiliza mafunzo ambayo si mageni kwako?

    unaamka asubuhi, unatumia pesa, muda na nguvu kwenda sehemu fulani kusikiliza mtu akikuambia mambo ambayo tayari unajua.Unaenda kanisani, mchungaji anasema tuwe waaminifu, tusameheane, tusiibe, tusizini na tupendane. Unatikisa kichwa kwa nguvu huku ukisema "Amen!" wakati ukweli ni kwamba hayo...
  18. M

    Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni

    Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametemebelea eneo la magomeni katika nyumba aliyowahi kuishi wakati wa harakati za ukombozi wa Namibia kupitia chama cha SWAPO. Katika ziara hiyo ya kipekee iliyochanganya...
  19. Zanzibar ya Zamani Ilikuwa Mbele Kuliko Bara – Kwa Nini Leo Imerudi Nyuma?

    Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
  20. Aisee leo controla ameandika uzi imenipa flashbacks za JF ya zamani ilivyokuwa informative

    https://www.jamiiforums.com/threads/ukosefu-wa-vifaa-kwa-wapima-ardhi-land-surveyors-ni-sababu-kuu-ya-kuwa-na-gharama-kubwa-katika-upimaji-ardhi.2446047/ Yani nimesma huu uzi nikajihisi kama niko darasani. 8 years ago JF ilikuwa ni kama online books, I dont know what really changed here ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…